Baruti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Pyrodex powder ffg.jpg|thumb|Baruti nyeusi]]
'''Baruti''' ni mchangayiko wa dutu za kikemia. Ina [[mmenyuko]] wa haraka kati ya kemikali zake ikipashwa moto inatoa [[gesi]] nyingi. Kama mmenyuko huo unatokea penye nafasi kubwa inachoma haraka na ghafla lakini kama unatokea mahali unapobanwa kuna [[mlipuko]]. Kwa hiyo baruti ni [[kilipukaji]].
 
Tabia hii inatumiwa kurusha [[risasi]] kutoka [[bunduki]]. Gesi ya mlipuko zinapanua zikifuata nafasi ya pekee inayopatikana kwenye [[kasiba]] ya bunduki kueleka mdomo wake. Risasi iliyopo mbele inasukumwa na kupata mbio.