Jet Li : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Manual revert Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 19:
| tovuti = http://www.jetli.com
}}
'''Li Lianjie''' (amezaliwa tar. [[26 Aprili]] [[1963]]) ni mshindi wa [[:en:Hong Kong Film Awards|Tuzo za Filamu za Hong Kong]], akiwa kama mwigizaji bora filamu wa [[China|Kichina]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''Jet Li'''. Jet Li ni mtaalam wa ''Kung Fu'' na ''Wushu''. Baada ya miaka mitatu ya mafunzo ya Wushu, Jet Li alipata ushindi wake wa kwanza katika mashindano ya kitaifa ya vikosi vya Wushu kwa mji wa [[Beijing]].
 
Akiwa na umri wa miaka 17, Jet Li aliachana na masuala ya Uwushu na badala yake akaja kuwa mwigizaji wa filamu na akabahatika kutoa filamu yake kwanza mnamo mwaka wa [[1982]] na filamu ilikwenda kwa jina la ''Shaolin Temple''.
 
Badala ya hapo akawa anaendelea zaidi na maswala ya filamu na hata kuweza kujulikana katika medani hiyo ya uigizaji wa filamu katika China. Akaja kujipatia umaarufu zaidi pale alipocheza katika mfululizo wa filamu za Once Upon a Time in China, ambamo humo alikuwa akicheza kama shujaa wa kiasili - Wong Fei Hung.