Tofauti kati ya marekesbisho "Nuhu Abdullahi"

46 bytes removed ,  miezi 4 iliyopita
d
Masahihisho aliyefanya Praygod mwanga (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kelvin kevoo
Tag: Reverted
d (Masahihisho aliyefanya Praygod mwanga (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kelvin kevoo)
Tag: Rollback
[[Picha:Nuhu 2.jpg|thumb|200px|Nuhu Abdullahi]]
 
'''Nuhu Abdullahi Balarabe''' (alizaliwa tarehe [[3 Januari]] mwaka [[1991]] ) ni muigizaji na muandaaji wa [[filamu]] wa nchini [[Nigeria]],<ref>{{cite web |last1=Lere |first1=Muhammad |title=I want popular actress, Fati Washa, as my wife – Kannywood actor – Premium Times Nigeria |url=https://www.premiumtimesng.com/entertainment/190483-i-want-popular-actress-fati-washa-as-my-wife-kannywood-actor.html |website=Premium Times News |accessdate=23 August 2019 |date=22 September 2015}}</ref> alizaliwa na kukulia katika jimbo la [[Kano]].''' Nuhu''' ni mmoja wa wasanii wakubwa wa filamu kutoka ''Kannywood'' , huigiza filamu katika lugha za [[Kihausa]] na [[Kiingereza]].<ref>{{cite web |last1=Liman |first1=Bashir |title=Nuhu Abdullahi: ‘I never knew my work would go international’ |url=https://www.dailytrust.com.ng/nuhu-abdullahi-i-never-knew-my-work-would-go-international.html |website=Daily Trust |accessdate=23 August 2019 |date=2 June 2018 }}{{Dead link|date=February 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref> alishinda [[tuzo]] ya ''City People Entertainment Awards'' kama muigizaji bora mwaka [[2015]] ,<ref>{{cite web |last1=Lere |first1=Muhammad |title=Kannywood: Rahama Sadau, Adam Zango, others win at City People awards 2015 – Premium Times Nigeria |url=https://www.premiumtimesng.com/entertainment/kannywood/188598-kannywood-rahama-sadau-adam-zango-others-win-at-city-people-awards-2015.html |website=Premium Times News |publisher=Premium Times News |accessdate=23 August 2019 |date=18 August 2015}}</ref>
 
==Taaluma==
'''Nuhu Abdullahi''' alijiunga na ''Kannywood film industry'' mwaka [[2009]] kama mtayarishaji wa filamu ,na alitayarisha filamu mbalimbali ikiwemo ''Baya da Kura'','' Fulanin Asali'','' Kuskure'','' Mujarrabi'', na nyingine nyingi.<ref>{{cite web |last1=Nathaniel |first1=Nathan |title=I Love Fati Washa As Wife, But I’m Not Ready for Marriage…Actor, Nuhu Abdullahi |url=https://www.thenigerianvoice.com/amp/movie/192089/i-love-fati-washa-as-wife-but-im-not-ready-for-marriageac.html |website=thenigerianvoice.com |accessdate=23 August 2019}}</ref>''' Nuhu''' alianza kutokea katika filamu ya kwanza ya ''Ashabul Kahfi'', na kupata mashabiki wengi
'''Nuhu Abdullahi''' huigiza katika ''Kannywood'' Pamoja na [[Nollywood]]
 
==Marejeo==