Wikipedia:Mwongozo (Muundo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 32:
Kwa kawaida si lazima kutaipu apostrofi moja-moja. Unaweza kuangaza neno au maneno husika kwa [[Puku (komyuta)|puku]] yako na kutumia menyu (nembo dogo) juu ya dirisha la uhariri. "<big>'''B'''</big>" inakupa herufi koza, "<big>''I''</big>" inaleta herufi italiki.
 
Jina la makala ya wikipedia inatakiwa kuonekana kwa herufi koza pale inapoonekana mara ya kwanza ndani ya makala, mara nyingi kama neno / maneno ya kwanza. Menginevyo hatutumii herufi koza, isipokuwa ikisaidia kupanga matini mrefu isomeke vizuri zaidi pale ambako hatutaki kutumia vichwa vya habari.
 
'''Mfano:''' Makala ya [[Julius Nyerere]] inaanza: