Tofauti kati ya marekesbisho "Lusia wa Sirakusa"

6 bytes added ,  miezi 8 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[Image:Saint Lucy by Domenico di Pace Beccafumi.jpg|thumb|right|250px|''Mt. Lusia'' alivyochorwa na [[Domenico Beccafumi]], [[1521]], ([[Pinacoteca Nazionale (Siena)|Pinacoteca Nazionale]], [[Siena]])]]
'''Lusia wa Sirakusa''' (maarufu kama ''Mtakatifu Lusia''; [[283]]–[[304]]), maarufu kama ''Mtakatifu Lusia'' alikuwa [[msichana]] [[bikira]] na [[tajiri]] wa [[SirakusaSiracusa]], [[Sicilia]], [[Italia visiwani]] ambaye alitetea [[imani]] yake ya [[Ukristo|Kikristo]] hadi kuuawa wakati wa [[dhuluma]] ya [[kaisari]] [[Dioklesyano]].
 
Anachorwa akishika mkononi [[sinia]] yenye [[macho]] yake aliyonyofolewa kabla hajauawa.
Kwa sababu hiyo anaheshimiwa tangu zamani kama [[mtakatifu]] [[mfiadini]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa tarehe [[13 Desemba]] <ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
* [http://www.newadvent.org/cathen/09414a.htm "St. Lucy" from New Advent's ''Catholic Encyclopedia.'']
* [http://www.cattoliciromani.com/forum/showthread.php/iconografia_santa_lucia-21581.html Representations of Saint Lucy]
 
{{mbegu-Mkristo}}
 
[[Category:Waliozaliwa 283]]
[[Category:Waliofariki 304]]