Tofauti kati ya marekesbisho "Bunduki"

30 bytes added ,  miezi 9 iliyopita
no edit summary
(kuhusu kasiba, mpangilio)
No edit summary
 
[[Picha:Armas Infantería EA.JPG|thumb|Aina mbalimbali za bunduki]]
[[File:TKB-059.jpg|thumb|[[TKB-059]].]]
'''Bunduki''' ni [[silaha]] inayorusha [[risasi]] dhidi ya shabaha yake. Ndani ya bunduki inatokea mlipuko wa [[baruti]] na [[gesi]] joto za mlipuko zinasukuma risasi kuelekeakufuata mwelekeo wa [[kasiba]] yake. Kutokana na sifa hii huitwa pia [[silaha ya moto]]. Kasiba ya bunduki za kisasa huwa na mifuo ndani yake inayosababisha risasi kuzunguka; inaendelea kuzunguka baada ya kutoka nje ya kasiba na mwendo huu unatunza mwelekeo wake. Kipenyo cha risasi ni sawa na kipenyo cha ndani cha kasiba hivyo risasi inagusa kasiba wakati wa kufyatuliwa.
 
Bunduki ya kisasa huwa na akiba ya [[ramia]] katika [[chemba]] yake isipokuwa silaha kadhaa za kuwinda. Silaha za kijeshi huwa na chemba zonazoshika risasi zaidi ya 100.
 
== Aina za bunduki ==
Kwa kawaida neno "bunduki" linataja [[silaha za moto]] zenye kasiba ndefu zinazoshikwa mkononimikononi.
* [[Gobori]] ni mtangulizi wa bunduki ambakoambalo risasi na baruti zinaingizwa kupitia mdomo wake katika kasiba. Kasiba yake ni nyororo, haina mifuo. Kwa hiyo haiwezi kulenga kwa umakini. Inapiga mara moja tu halafu ni lazima kuijaza upya. Aina hii ni silaha ya kihistoria lakini hupatikana pia kama silaha inayotengenezwa nyumbani.
 
* [[Gobori]] ni mtangulizi wa bunduki ambako risasi na baruti zinaingizwa kupitia mdomo wake katika kasiba. Kasiba yake ni nyororo, haina mifuo. Kwa hiyo haiwezi kulenga kwa umakini. Inapiga mara moja tu halafu ni lazima kuijaza upya. Aina hii ni silaha ya kihistoria lakini hupatikana pia kama silaha inayotengenezwa nyumbani.
 
* Bunduki kubwa zaidi zinazosimama kwa magurudumu huitwa [[mzinga]].
* Bunduki ndogo yenye kasiba fupi ni [[bastola]].
* [[Bunduki ya marisau]] hutumiwa kwa kuwinda wanyama ikifyatua risasi nyingi ndogondogo. Ni rahisi zaidi kushika shabaha lakini haipigi mbali.
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Projectile weapons|Bunduki}}
{{tech-stub}}
 
[[Jamii:Silaha]]