Euphrase Kezilahabi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 1:
'''Euphrase Kezilahabi''' ([[Namagondo]], [[Ukerewe]], [[13 Aprili]] [[1944]] - [[9 Januari]] [[2020]], [[Dar es Salaam]]) alikuwa [[mwandishi]] mashuhuri kutoka nchi yanchini [[Tanzania]]. [[Lugha ya kwanza|Lugha yake ya kwanza]] ilikuwa [[Kikerewe]] lakini aliandika hasa kwa [[Kiswahili]] ambacho amekipanua kwa kutumia [[mtindo|mitindo]] ya [[lugha]] yake ya [[asili]].
 
==Maisha==
Euphrase Kezilahabi alizaliwa [[13]] [[Aprili]] [[1944]] huko Namagondo kisiwani Ukerewe kilichopo ndani ya [[Ziwa Viktoria]]. Babake Vincent Tilibuzya alikuwa msimamizi wa kijiji na Euphrase alikuwa na ndugu 10 yaani wavulana 5 na wasichana 5. Alisoma shule ya msingi ya [[Nakasayenge]] halafu tangu 1957 Seminari ya kikatoliki ya Nyegezi aliyomaliza mwaka 1966. <ref>Noronha analeta habari kuhusu maisha yake tangu utotoni hadi kuwa mhadhiri, mengine katika "profile" (taz. chini)</ref>
 
Mwaka 1967 alijiandiskisha kwenye [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] akasoma ualimu na fasihi hadi digrii ya [[B.A.]] katika mwaka 1970. Mwaka uleule 1970 akawa mwalimu wa shule ya sekondari [[Mzumbe]] ([[Morogoro]]) halafu kwenye shule ya sekondari ya Mkwawa (Iringa).