Nasaba ya Han : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Han foreign relations CE 2.jpg|thumb|300px|Eneo la utawala wa Han katika Uchina.]]
'''Nasaba ya Han''' (kwa Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; [[206 KK]] – [[220 BK]]) ilitawala [[Uchina]] baada ya [[nasaba ya Qin]], na ilitangulia [[Madola Matatu]]. Utawala huu ulianzishwa na [[familia]] maarufu iliyofahamika kama [[ukoo]] wa Liu.
 
Watu wa [[China]] huhesabu [[nasaba]] ya Han iliyodumu kwa [[karne]] nne kuwa kati ya vipindi vikuu katika [[historia]] yote ya nchi. Hivyo, jamii kubwa ya China hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa [[heshima]] ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.
Mstari 6:
==Viungo vya nje==
{{commons|Category:Han_Dynasty}}
{{madola}}
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Madola]]
[[Jamii:Historia ya China]]