Tofauti kati ya marekesbisho "Nasaba ya Qing"

32 bytes added ,  miezi 3 iliyopita
(Replacing Flag_of_the_Qing_Dynasty_(1889-1912).svg with File:Flag_of_China_(1889–1912).svg (by CommonsDelinker because: File renamed:).)
 
Mwisho wa karne ya 19 vikundi mbalimbali ndani ya nasaba ya Qing walianza kuvutana juu ya matengenezo ya utaratibu wa kijamii na kisiasa. [[Malkia Cixi]] alizuia mabadiliko haya. Hadi kifo chake mwaka 1908 alitawala China iliyoendelea kushuka katika hali ya nusukoloni ya nchi za Ulaya. Kabla kifo chake alimteua mtoto [[Pu Yi]] kama kaisari mpya lakini utawala wa Qing ilipinduliwa katika [[mapinduzi ya China ya 1911]] iliyomaliza nasaba ya Qing pamoja na ufalme katika China. Pu Yi alilazimishwa kuachana na cheo cha Kaisari mwaka 1912.
 
Mwaka 1934 hadi 1945 Japani ilimteua kama mtawala wa [[Manchuria]] iliyokuwa nchi kwa jina tu chini ya usimamizi wa Japani.
{{madola}}
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Madola]]
 
{{DEFAULTSORT:Qing}}
 
[[Jamii:Historia ya China]]