Ndoto : Tofauti kati ya masahihisho

5 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '300px|right|thumb|''Ndoto wa askari mpandafarasi'', [[1655, kadiri ya Antonio de...')
 
No edit summary
 
[[File:Antonio de Pereda - El sueño del caballero - Google Art Project.jpg|300px|right|thumb|''Ndoto waya askari mpandafarasi'', [[1655]], kadiri ya [[Antonio de Pereda]].]]
'''Ndoto''' ni mfululizo wa [[picha]], ma[[wazo]], [[mihemko]] na [[hisia]] ambao unatokea [[akili|akilini]], kwa kawaida bila makusudi, katika hatua fulanifulani za [[usingizi]].<ref>{{cite web |url=http://www.thefreedictionary.com/dream |title=Dream |publisher= The American Heritage Dictionary of the English Language, Fourth Edition. 2000 |accessdate=May 7, 2009}}</ref>
 
[[Muda]] wa ndoto unaweza kuwa tofauti sana: tangu [[sekunde]] chache hadi [[dakika]] 20–30.<ref name=hobson/>
 
Kwa wastani watu wanapata ndoto 3 hadi 5 kwa usiku, wengine hadi 7;<ref>Empson, J. (2002). ''Sleep and dreaming'' (3rd ed.)., New York: Palgrave/St. Martin's Press</ref>, lakini nyingi zinasahaulika mara au mapema.<ref>Cherry, Kendra. (2015). "[http://psychology.about.com/od/statesofconsciousness/tp/facts-about-dreams.htm 10 Facts About Dreams: What Researchers Have Discovered About Dreams]." ''About Education: Psychology''. About.com.</ref> Watu wanaweza kukumbuka zaidi ndoto zao wakiamshwa wakati wa huo usingizi wa macho kugeukageuka.
 
Ndoto zinaelekea kudumu zaidi kadiri muda wa usiku unavyozidi kwenda.<ref>{{cite web|last=Ann |first=Lee |url=http://science.howstuffworks.com/environmental/life/human-biology/dream2.htm |title=HowStuffWorks "Dreams: Stages of Sleep" |publisher=Science.howstuffworks.com |date=January 27, 2005 |accessdate=August 11, 2012}}</ref>
 
Ndoto zinaweza kuwa za aina mbalimbali: nje zaya uwezekano katika maisha ya kawaida, za ajabuajabu, za kutisha, za kusisimua, za kishirikina, za kidini, za kusikitisha, za [[jinsia|kijinsia]], n.k. Zinaweza pia kumsaidia [[msanii]] kubuni kitu.<ref>Domhoff, W. (2002). The scientific study of dreams. APA Press</ref>
 
Kwa kawaida ziko nje ya udhibiti wa mtu, isipokuwa anapoota akiwa anajitambua ([[ndoto za mchana]]).<ref>{{cite web|last1=Lite|first1=Jordan|title=How Can You Control Your Dreams?|url=http://www.scientificamerican.com/article/how-to-control-dreams/|website=Scientific America|date=July 29, 2010}}</ref>
Rai kuhusu maana ya ndoto zimetofautiana sana kadiri ya nyakati na [[utamaduni]].<ref name=":0">{{Cite journal|title = When dreaming is believing: The (motivated) interpretation of dreams.|url = http://doi.apa.org/getdoi.cfm?doi=10.1037/a0013264|journal = Journal of Personality and Social Psychology|pages = 249–264|volume = 96|issue = 2|doi = 10.1037/a0013264|first = Carey K.|last = Morewedge|first2 = Michael I.|last2 = Norton}}</ref>
 
[[Kumbukumbu]] za zamani zaidi kuhusu ndoto ni za miaka 5000 hivi iliyopita huko [[Mesopotamia]], ambapo zilichorwa katika [[kigae|vigae]].
 
Katika [[Ugiriki wa Kale]] na [[Roma ya Kale]], watu walisadiki ndoto zinaleta [[ujumbe]] kutoka kwa [[mungu]] fulani au [[marehemu]] fulani na kwamba zinatabiri ya [[kesho]].
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Saikolojia]]