Nyasa (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
'''Ziwa Nyasa''' (katika [[Malawi]]: '''Lake Malawi'''; katika [[Msumbiji]]: '''Niassa''') ni kati ya ma[[ziwa]] makubwa ya [[Afrika ya Mashariki]] likiwa na nafasi ya [[tatu]] baada ya [[Viktoria Nyanza]] na [[Ziwa Tanganyika]].
 
== Eneo la Ziwa ==
Lina [[urefu]] wa [[km]] 560 na [[upana]] wa km 50-80. Vilindi vyake vinaelekea hadi [[mita]] 704 chini ya uwiano wa [[maji]] yake.
Eneo la ziwa ni [[km²]] 29,600.
 
Lina [[urefu]] wa [[km]] 560 na [[upana]] wa km 50-80, likienea kutoka kaskazini kuelekea kusini. Vilindi vyake vinaelekea hadi [[mita]] 704 chini ya uwiano wa [[maji]] yake.
 
Ziwa Nyasa linapatikana kati ya nchi za [[Malawi]], [[Msumbiji]] na [[Tanzania]].
Line 15 ⟶ 18:
Ziwa Nyasa linajulikana kuwa na aina nyingi za [[samaki]] (zaidi ya 1500). Aina chache tu zinavuliwa kama [[chakula]], lakini aina mbalimbali zinakamatwa na kuuzwa nje ya [[Afrika]] kwa wapenzi wa samaki wa [[rangi]].
 
== EneoSwali la Ziwamipaka ziwani ==
Malawi lina ufuko mrefo ziwani upande wa magharibi na kusini, ilhali Tanzania inapakana na kaskazini ya ziwa na kwenye ufuko wa mashariki, ikifuatwa na Msumbiji.
Eneo la ziwa ni [[km²]] 29,600. Sehemu kubwa ni eneo la Malawi, ila [[robo]] ya [[kusini]]-[[mashariki]] ni eneo la Msumbiji, na robo ya [[kaskazini]]-mashariki ni eneo la [[Tanzania]].
 
Kuna [[ugomvi]] kati ya Malawi na Tanzania kuhusu mipaka ndani ya ziwa. Mpaka baina ya Malawi (zamani: Nyassaland) na Msumbiji ulipatanwa wakati wa ukoloni. Lakini kuna mzozo kuhusu robo ya kaskazini-mashariki inayodaiwa na Tanzania kuwa ni eneo lake, ilhali Malawi inaidai pia.
 
Kuna [[ugomvi]] kati ya Malawi na Tanzania kuhusu mipaka. Malawi imedai ya kwamba maji yote hadi [[ufukwe|ufukoni]] upande wa Tanzania ni sehemu ya eneo lake la kitaifa. Tanzania imedai ya kwamba mpaka uwe katikati ya ziwa kufuatana na [[desturi]] za kimataifa.
 
Sababu ya mzozo ni utaratibumaelewano waya [[Ukoloni|kikoloni]]. Wakati wa kuundwakuanzishwa kwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] lakini kabla ya serikali ya Ujerumani kuchukua koloni mkononi mwake<ref>Koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani ilianzishwa kama koloni ya kibiashara iliyomilikiwa na shirika la binafsi [[Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki]] na bila mipaka maalumu iliyoeleweka. Mnamo 1890 ilipoonekana shirika haliwezi kumiliki maeneo hayo, serikali iliamua kuchukua utawala mkononi mwake moja kwa moja. Katika maandalizi ya hatua hiyo, Ujerumani ilitafuta maelewano na Uingereza kuhusu "mipaka ya maslahi" (spheres of interest) katika Afrika kwa jumla. Hapo nchi hizo mbili zilielewana pia kuhusu maeneo ambayo wakati ule hazikutawaliwa nazo bado. Tazama makala [[Mkataba wa Helgoland-Zanzibar]]</ref>, [[serikali]] za [[Uingereza]] na [[Ujerumani]] zilipatana kuhusu mipaka ya "eneo chini ya athira ya Ujerumani" ("German sphere of influence") kwa kutaja mpaka ulifuata ufuko wa Ziwa Nyasa.<ref>"In East Africa, Germany's sphere of influence is demarcated thus: ... To the south by the line that starts on the coast of the northern border of Mozambique Province and follows the course of the Rovuma River to the point where the Messinge flows into the Rovuma. From here the line runs westward on the parallel of latitude to the shore of Lake Nyasa. Turning north, it continues along the eastern, northern, and western shores of the lake until it reaches the northern bank of the mouth of the Songwe River. " ([http://germanhistorydocs.ghi-dc.org/sub_document.cfm?document_id=782 Anglo-German Treaty (Heligoland-Zanzibar Treaty) (July 1, 1890), article I,2], tovuti ya http://germanhistorydocs.ghi-dc.org, mradi wa German Historical Institute Washington, DC, iliangaliwa Machi 2019</ref> Leo inajadiliwa baina ya wanasharia wa kimataifa kama maneno haya yalitaja mipaka halisi ya kiutawala au kama yalikuwa tu mapatano ya awali kuhusu "maeneo chini ya athira" ya nchi husika<ref>[https://repository.law.umich.edu/cgi/viewcontent.cgi?article=1193&context=mjil Tiyanjana Maluwa: Oil Under Troubled Waters?: Some Legal Aspects of the Boundary Dispute Between Malawi and
Tanzania Over Lake Malawi Tiyanjana Maluwa], jarida la Michigan Journal of International Law, 2016, ukurasa 360f</ref>.