Majadiliano:Nyasi-bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Latest comment: miaka 2 iliyopita by ChriKo in topic Badiliko la picha kwenye sanduku
Content deleted Content added
 
(Hakuna tofauti)

Toleo la sasa la 15:30, 27 Septemba 2021

Badiliko la picha kwenye sanduku hariri

Bonjour Fred. Comme tu dis sur ta page d'utilisateur que tu es Français, je t'écris en Français. Je ne sais pas pourquoi tu as changé la photo dans la boîte taxonomie. Quand je choisis une photo pour une page que j'écris, j'essaie toujours de trouver une photo d'une espèce qui se trouve en Afrique de l'Est. La photo que tu a choisi, n'existe pas dans cette région. J'aimerais donc remettre la photo originale, mais j'attendrai quelques semaines pour te donner la chance de contester cela avec des bons arguments. ChriKo (majadiliano) 15:30, 27 Septemba 2021 (UTC)Reply

(Tafsiri. Habari yako Fred? Kama unavyosema kwenye ukurasa wako wa mtumiaji kuwa wewe ni Mfaransa, ninakuandikia kwa Kifaransa. Sijui kwa nini umebadilisha picha kwenye sanduku la uainishaji. Wakati ninachagua picha kwa ukurasa ninaoandika, kila wakati mimi hujaribu kupata picha ya spishi inayopatikana katika Afrika ya Mashariki. Spishi ambayo picha yako inaonyesha haipo katika eneo hili. Kwa hivyo ningependa kurudisha picha ya asili, lakini nitasubiri wiki chache kukupa nafasi ya kuipinga kwa hoja nzuri.)

Return to "Nyasi-bahari" page.