Chama cha Kijamaa-Kidemokrasia cha Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 18:
Mwisho wa vita mnamo mwaka 1918, mapinduzi yalipindua utawala wa kifalme na SPD ikaongoza serikali kadhaa.
Wakati wa [[Mdodoro
▲Wakati wa [[Mdodoro mkuu|mdodoro mkuu wa uchumi]] baada ya mwaka 1929, vyama adui vya demokrasia vilipata nguvu katika Ujerumani. Mwaka 1933 SPD kilikuwa chama pekee katika bunge kilichokataa kukubali "sheria ya mamalaka" (''Ermächtigungsgesetz'') iliyokuwa msingi wa kisheria kwa udiketa wa [[Adolf Hitler]].
Baadaye Hitler alipiga tena SPF marufuku na kuwakamata wanachama wengi, wengine walikimbia nje ya nchi.
Line 42 ⟶ 41:
== Siasa ==
Kihistoria SPD ilikuwa chama cha wafanyakazi nchini Ujerumani kilichofuata shabaha ya ujamaa ambako viwanda vikubwa vitawekwa mkononi mwa serikali. Mnamo 1959 SPD iliachana rasmi na itikadi ya [[Umaksi]] ikakubali '''uchumi wa soko''' (
== Kujisomea ==
* Carl E. Schorske, ''
* Vernon L. Lidtke, ''
* Abraham J. Berlau, ''The German Social Democratic Party'', 1914-1921 (Columbia University Press, 1949).
* Erich Matthias ''
== Tovuti za Nje ==
* [http://www.spd.de/servlet/PB/menu/1588284/index.html Party official website in English] {{Webarchive|url=https://web.archive.org/web/20060711164453/http://www.spd.de/servlet/PB/menu/1588284/index.html|date=2006-07-11}}
* [http://www.jusos.de/ official website of the party's youth organisation]
* [http://www.maxeiner-miersch.de/left_still_on_the_left_e.htm Is the Left Still on the Left?] {{Webarchive|url=https://web.archive.org/web/20060601182612/http://www.maxeiner-miersch.de/left_still_on_the_left_e.htm|date=2006-06-01}} — Dirk Maxeiner and Michael Miersch on the German left
|