Nyasa (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 6:
Eneo la ziwa ni [[km²]] 29,600.
 
Lina [[urefu]] wa [[km]] 560 na [[upana]] wa km 50-80, likienea kutoka [[kaskazini]] kuelekea [[kusini]]. Vilindi vyake vinaelekeavinafikia hadi [[mita]] 704 chini ya uwiano wa [[maji]] yake.
 
Ziwa Nyasa linapatikana kati ya nchi za [[Malawi]], [[Msumbiji]] na [[Tanzania]].
Mstari 18:
Ziwa Nyasa linajulikana kuwa na aina nyingi za [[samaki]] (zaidi ya 1500). Aina chache tu zinavuliwa kama [[chakula]], lakini aina mbalimbali zinakamatwa na kuuzwa nje ya [[Afrika]] kwa wapenzi wa samaki wa [[rangi]].
 
== SwaliSuala la mipaka ziwani ==
Malawi lina ufuko mrefomrefu ziwani upande wa [[magharibi]] na kusini, ilhali Tanzania inapakana na kaskazini yamwa ziwa na kwenye ufuko wa [[mashariki]], ikifuatwa na Msumbiji.
 
Kuna [[ugomvi]] kati ya Malawi na Tanzania kuhusu mipaka ndani ya ziwa. Mpaka baina ya Malawi (zamani: Nyassaland) na Msumbiji ulipatanwaulipangwa wakati wa [[ukoloni]]. Lakini kuna mzozo kuhusu [[robo]] ya kaskazini-mashariki inayodaiwa na Tanzania kuwa ni eneo lake, ilhali Malawi inaidai pia.
 
Malawi imedai ya kwamba maji yote hadi [[ufukwe|ufukoni]] upande wa Tanzania ni sehemu ya eneo lake la kitaifa. Tanzania imedai ya kwamba mpaka uwe katikati ya ziwa kufuatana na [[desturi]] za kimataifa.
 
Sababu ya mzozo ni maelewano ya [[Ukoloni|kikoloni]]. Wakati wa kuanzishwa kwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] lakini kabla ya serikali ya [[Ujerumani]] kuchukua koloni mkononi mwake<ref>Koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani ilianzishwa kama koloni ya kibiashara iliyomilikiwa na shirika la binafsi [[Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki]] na bila mipaka maalumu iliyoeleweka. Mnamo 1890 ilipoonekana shirika haliwezi kumiliki maeneo hayo, serikali iliamua kuchukua utawala mkononi mwake moja kwa moja. Katika maandalizi ya hatua hiyo, Ujerumani ilitafuta maelewano na Uingereza kuhusu "mipaka ya maslahi" (spheres of interest) katika Afrika kwa jumla. Hapo nchi hizo mbili zilielewana pia kuhusu maeneo ambayo wakati ule hazikutawaliwa nazo bado. Tazama makala [[Mkataba wa Helgoland-Zanzibar]]</ref>, [[serikali]] za [[Uingereza]] na [[Ujerumani]] zilipatana kuhusu mipaka ya "eneo chini ya athira ya Ujerumani" ("German sphere of influence") kwa kutaja mpaka ulifuata ufuko wa Ziwa Nyasa.<ref>"In East Africa, Germany's sphere of influence is demarcated thus: ... To the south by the line that starts on the coast of the northern border of Mozambique Province and follows the course of the Rovuma River to the point where the Messinge flows into the Rovuma. From here the line runs westward on the parallel of latitude to the shore of Lake Nyasa. Turning north, it continues along the eastern, northern, and western shores of the lake until it reaches the northern bank of the mouth of the Songwe River. " ([http://germanhistorydocs.ghi-dc.org/sub_document.cfm?document_id=782 Anglo-German Treaty (Heligoland-Zanzibar Treaty) (July 1, 1890), article I,2], tovuti ya http://germanhistorydocs.ghi-dc.org, mradi wa German Historical Institute Washington, DC, iliangaliwa Machi 2019</ref> Leo inajadiliwa baina ya wanasharia wa kimataifa kama maneno haya yalitaja mipaka halisi ya kiutawala au kama yalikuwa tu mapatano ya awali kuhusu "maeneo chini ya athira" ya nchi husika<ref>[https://repository.law.umich.edu/cgi/viewcontent.cgi?article=1193&context=mjil Tiyanjana Maluwa: Oil Under Troubled Waters?: Some Legal Aspects of the Boundary Dispute Between Malawi and Tanzania Over Lake Malawi Tiyanjana Maluwa], jarida la Michigan Journal of International Law, 2016, ukurasa 360f</ref>.
Tanzania Over Lake Malawi Tiyanjana Maluwa], jarida la Michigan Journal of International Law, 2016, ukurasa 360f</ref>.
 
Baada ya mwaka [[1919]] [[Uingereza]] ilitawala [[Tanganyika]] pamoja na [[Malawi]] (Nyassaland), hivyo hakukuwa na shida.
Line 34 ⟶ 33:
Tarehe 3 Januari 1967 serikali ya Tanzania iliandika mara ya kwanza kwa serikali ya Malawi na kuifahamisha kwamba iliona mpaka baina ya nhci hizi ilifuata mstari wa kati wa Ziwa Nyasa. Malawi ilithibitisha kupokelewa kwa barua hii bila kuijibu rasmi. Hata hivyo rais Banda wa Malawi alikataa madai ya tanzania mbele ya bunge lake. [[Polisi]] ya Malawi ilijaribu kutawala [[wavuvi]] na [[feri]] za Tanzania ziwani. Mzozo huu ulisababisha [[risasi]] kufyatuliwa hadi kutulia mwaka 1968.
 
Hadi leo hakuna mapatano rasmi lakini nchi zote [[mbili]] zinaendelea kudai bila kutumia nguvu. Hali halisi Malawi imeheshimu dai la Tanzania, haijasumbua tena wavuvi wala feri za jirani ndani ya robo ya kaskazini-mashariki ya ziwa.
 
Mzozo ulifufuka tena tangu mwaka 2012 baada ya Malawi kutoa vibali vya upelelezi wa gesi na mafuta chini ya ziwa, tendo linalopingwa na Tanzania.<ref>[https://allafrica.com/stories/201208130878.html Malawi: Old Border Dispute With Tanzania Over Lake Malawi Flares Up Again]</ref>
Line 40 ⟶ 39:
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-jio-Afrika}}
[[Jamii:Ziwa Nyasa]]