Chama cha Kijamaa-Kidemokrasia cha Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Infobox political party|country=Germany|name=Chama cha Kijamaa-Kidemokrasia cha Ujerumani |native_name=Sozialdemokratische Partei Deutschlands|logo=SPD logo.svg|colorcode={{Social Democratic Party of Germany/meta/color}}|leader=[[Norbert Walter-Borjans]] na [[Saskia Esken]]|foundation=23 Mei 1863 (ADAV)<br />7 Agosti 1869 (SDAP)|ideology=[[Ujamaa wa kidemokrasia]]|international=[[Socialist International]]|european=[[Party of European Socialists]]|europarl=[[Progressive Alliance of Socialists and Democrats]]|colors=[[Red]]|headquarters=Willy-Brandt-Haus<br />D-10911 [[Berlin]]|website=[http://www.spd.de http://www.spd.de]}}
 
'''Chama cha Kijamaa-Kidemokrasia cha Ujerumani''' (kwa [[Kijer.]] Sozialdemokratische Partei Deutschlands au '''SPD''', [[Kiing.]] ''Social Democratic Party of Germany'') ni [[Chama cha kisiasa|chama cha siasa]] nchini [[Ujerumani]] kilichundwakilichoundwa mnamo [[23 Mei]] [[1863]]. SPD ikoni mojakimoja kati ya vyama muhimu zaidi vya kisiasa muhimu zaidi katika Ujerumani ya kisasasasa, pamoja na [[Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani|Chama cha Kidemokrasia cha Kikristo]] (CDU).
 
== Historia ==
SPD ilianzishwa kama "Shirika la Wafanyakazi wa Kijerumani" (''Allgemeiner Deutscher Arbeiterverein'', ADAV) mnamo 23 Mei 1863 huko [[Leipzig]]. [[Mwanzilishi]] alikuwa Ferdinand Lassalle. Mnamo [[1875]] ADAV ilijiunga na Chama cha Wafanyakazi wa Kidemokrasia ya Jamii ( ''Sozialdemokratische Arbeiterpartei'' ) (SDAP), ambayo ilianzishwa mnamo [[1869]] huko Eisenach na August Bebel na Wilhelm Liebknecht .
 
[[Jina]] jipya lilikuwa Chama cha Wafanyakazi cha Kijamaa cha Ujerumani ( ''Sozialistische Arbeiterpartei Deutschlands'', SAP).
 
Tangu mwaka [[1890]] kilichukua jina lake la sasa.
 
Katika miaka kuanzia 1875 hadi 1890 kilipigwa marufuku na [[Otto von Bismarck]].
 
Baada ya kuruhusiwa tena SPD ilikuwa mara kwa mara chama kikubwa zaidi [[Bunge|bungeni]] lakini haikushirikishwa katika [[serikali]] yoyote. Wabunge wake, hasa Karl Liebknecht, walipinga [[siasa]] ya [[ukoloni]] ya Ujerumani.
 
Baada ya kuanzishwa kwa [[Vita Kuu ya Kwanza]] ya Dunia mwaka [[1914]], SPD iliona farakano. Wabunge walio wengi walikubali makisio ya pekee kwa ajili ya [[jeshi]] wakiamini Ujerumani ilishmabuliwa, ilhali [[kundi]] dogo zaidi lilikataa makisio wakipinga kushiriki [[vita]] vyovyote. Kundi hilihilo lilianzisha chama cha USPD ("SPD ya kujitegemea") kilichopinga vita.
 
Mwisho wa vita mnamo mwaka [[1918]], [[mapinduzi]] yalipinduayaliondoa utawala wa kifalme na SPD ikaongoza serikali kadhaa.
 
Wakati wa [[Mdororo Mkuu|mdororo mkuu wa uchumi]] baada ya mwaka [[1929]], vyama adui vyawa [[demokrasia]] vilipata nguvu katika Ujerumani. Mwaka [[1933]] SPD kilikuwa chama pekee katika bunge kilichokataa kukubali "sheria ya mamalakamamlaka" (''Ermächtigungsgesetz'') iliyokuwa [[msingi]] wa kisheria kwa udiketa[[udikteta]] wa [[Adolf Hitler]].
 
Baadaye Hitler alipiga tena SPF marufuku na kuwakamata wanachama wengi, wengine walikimbia nje ya nchi.
 
Baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]], SPD ilirudi. Katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani|Ujerumani ya Mashariki]] watawala [[Umoja wa Kisovyeti|Wasovyeti]] walilazimisha maungano ya SPD na [[chama cha Kikomunisti]] na kukamata wanachama waliopinga.
 
Katika [[Ujerumani ya Magharibi|Magharibi mwa Ujerumani]] SPD iliendelea kama chama kikubwa zaidi ya mrengo wa kushoto.
 
SPD iliongoza serikali kadhaa za [[Majimbo ya Ujerumani|majimbo]] huko Ujerumani Magharibi, lakini kila wakati ilikuwa chama kikuu cha upinzani katika bunge la [[shirikisho]].
 
Iliingia katika serikali mara ya kwanza mnamo [[1966]] chini ya [[Chansela (kiongozi)|chansela]] [[Kurt Georg Kiesinger]] wa chama cha [[Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani|CDU]].
 
Mnamo [[1969]] [[mwenyekiti]] wa SPD [[Willy Brandt]] aliweza kuunbdakuunda serikali pamoja na chama kidogo cha liberalikiliberali FDP. Chini ya [[uongozi]] wake, Ujerumani ya Magharibi iliweza kujenga [[upatanisho]] na [[Poland]] na kutambua mipaka mipya iliyowahi kutokea baada ya Vita Kuu ya Pili ambako Ujerumani ilipunkuguiwailipungukiwa maeneo makubwa. Brandt alifuatwa [[1974]] na mwana SPD mwingine, [[Helmut Schmidt]] katika uongozi wa serikali.
 
Miaka [[1982]] hadi [[1998]] SPD iliondoka katika serikali ikawa tena chama cha upinzani.
 
Kati ya 1998 na [[2005]] SPD iliweza kurudi katika uongozi wa serikali chini ya chansela [[Gerhard Schröder]] aliyeshiriki na chama cha kiekolojia cha Green Party.
 
Tangu Novemba 2005 hadi mwaka [[2021]] SPD ikawa mshirika mdogo katika ushirikiano na CDU chini ya chansela [[Angela Merkel]] .
 
Katika miaka hii [[kura]] za SPD katika chaguzi kwenye shirikisho na majimbo ziliendelea kupungua. Lakini katika [[uchaguzi mkuu]] wa mwaka 2021 SPD ilikuwa tena chama kikubwa kwa kupata kura chache zaidi kidogo kuliko CDU.
 
== Siasa ==
Kihistoria SPD ilikuwa chama cha [[wafanyakazi]] nchini Ujerumani kilichofuata shabaha ya [[ujamaa]] ambakoambapo [[viwanda]] vikubwa vitawekwa mkononi[[Mikono|mikononi]] mwa serikali. Mnamo 1959 SPD iliachana rasmi na [[itikadi]] ya [[Umaksi]] ikakubali '''uchumi wa soko''' (ambakoambapo watu na [[kampuni]] zinaweza kutawala [[mali]] ya kila aina na kufuatakulenga [[faida]] yake kwenye [[Soko huria|soko la uchumi]]) ikidai kwamba nguvu ya [[uchumi]] wa binafsi inatakiwa kujenga manufaa ya [[jamii]] yote. Hivyo ni kazi ya [[dola]] kuwasaidia wanyonge kwa misaada ikiwa hawana kazi, ni [[wagonjwa]] au [[wazee]]). Kampuni zinaweza kupata [[ruzuku]] ili kuzisaidia ziendelee katika hali ngumu ili wafanyakazi wasikose [[ajira]] na [[mshahara|mishahara]].
 
== Kujisomea ==
 
* Carl E. Schorske, ''German Social Democracy, 1905-1917: The Development of the Great Schism'' (Harvard University Press, 1955).
* Vernon L. Lidtke, ''The Outlawed Party: Social Democracy in Germany, 1878-1890'' (Princeton University Press, 1966).
Line 51 ⟶ 50:
 
== Tovuti za Nje ==
 
* [http://www.spd.de/servlet/PB/menu/1588284/index.html Party official website in English] {{Webarchive|url=https://web.archive.org/web/20060711164453/http://www.spd.de/servlet/PB/menu/1588284/index.html|date=2006-07-11}}
* [http://www.jusos.de/ official website of the party's youth organisation]
* [http://www.maxeiner-miersch.de/left_still_on_the_left_e.htm Is the Left Still on the Left?] {{Webarchive|url=https://web.archive.org/web/20060601182612/http://www.maxeiner-miersch.de/left_still_on_the_left_e.htm|date=2006-06-01}} — Dirk Maxeiner and Michael Miersch on the German left
 
[[:Jamii:Vyama vya Kisiasa Ujerumani]]