Mabantu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
draft
 
No edit summary
Mstari 14:
|miaka ya kazi = 2018
|studio =
|ameshirikiana na = Whozu, Young Lunya, R the DJ
|tovuti =
}}
'''"Mabantu"''' ni jina la kutaja kundi la muziki wa [[Bongo Flava]] kutoka jijini [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Kundi linaundwa na wasanii wawili, Twarha Kanengo ([https://instagram.com/twaah_mabantu?utm_medium=copy_link Twarha MabantuMabant]u-9 Julai, 1997) na Mwarami Kajonje (Mwarami[https://instagram.com/muuh_mabantu?utm_medium=copy_link Muuh Mabantu]-21 Januari, 1999).
 
Kwa pamoja, wanafahamika kwa wimbo wao Sundi (2018), Bodaboda (2018) "Kama Tulivyo" (2019) wakimshirikisha Whozu, na ule maarufu zaidi ni Nawakera walishirikiana na Young Lunya. Pia waliwahi kufanya kazi ya kishirikishi na R "the" DJ, Shobo (2021).