Mabantu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
marejeo
Mstari 17:
|tovuti =
}}
'''"Mabantu"''' ni jina la kutaja kundi la muziki wa [[Bongo Flava]] kutoka jijini [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]].<ref>{{Cite web|title=EXCLUSIVE: Tazama Mabantu wakichambua mistari ya wimbo wa ‘Sundi’ – Dar24|url=http://dar24.com/exclusive-tazama-mabantu-wakichambua-mistari-ya-wimbo-wa-sundi/|accessdate=2021-10-02|language=en-US}}</ref> Kundi linaundwa na wasanii wawili, Twarha Kanengo ([https://instagram.com/twaah_mabantu?utm_medium=copy_link Twarha Mabant]u-9 Julai, 1997) na Mwarami Kajonje ([https://instagram.com/muuh_mabantu?utm_medium=copy_link Muuh Mabantu]-21 Januari, 1999).
 
Kwa pamoja, wanafahamika kwa wimbo wao Sundi (2018), Bodaboda (2018) "Kama Tulivyo" (2019) wakimshirikisha Whozu<ref>{{Cite web|title=Mabantu wafunguka kuhusu Whozu kukatwa nywele {{!}} East Africa Television|url=https://www.eatv.tv/sw/slider/mabantu-wafunguka-kuhusu-whozu-kukatwa-nywele|work=www.eatv.tv|date=2019-03-26|accessdate=2021-10-02|language=sw}}</ref>, na ule maarufu zaidi ni Nawakera walishirikiana na Young Lunya. Pia waliwahi kufanya kazi ya kishirikishi na R "the" DJ, Shobo (2021).
 
Mabantu walikuja kutambulika zaidi kupita kiasi baada ya kutoa Sponsa (2020), walirudi tena na Young Lunya.