Dajaja (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Add 1 book for verifiability (20211002sim)) #IABot (v2.0.8.1) (GreenC bot
Mstari 10:
Katika mapokeo ya baadaye hasa wakati wa Kiroma ndege ilichukuliwa kumaanisha [[bata-maji]] au “kyknos” ([[lat.]] Cygnus) iliyounganishwa na ndege huyu wa angani kati ya Wagiriki na [[Waroma wa Kale]]. Katika [[mitholojia ya Kigiriki]] "''kyknos''"inaweza kurejelea masimulizi ya mungu mkuu [[Zeus]] aliyechukua umbo la bata maji akitembea duniani na kutafuta mapenzi na mabinti wa kibinadamu<ref>Linganisha mitholojia la kundinyota [[Jauza (kundinyota)|Jauza]]!</ref>. Kwa mapokeo tofauti jina la “kyknos” linarejelea masimulizi ya mungu Phaeton aliyekuwa mwana wa [[Helios]] mungu wa jua. Phaeton aliwahi kuendesha gari la jua la babaye angani kwa kasi kubwa mno akasababisha hatari ya kuchomwa kwa mbingu na Dunia. Hapo baba wa miungu Zeus alipaswa kurusha radi dhidi ya gari la jua na kumwua Phaeton. Phaeton akaanguka chini katika mto Nahari (Eridanus) na kwa muda mrefu rafiki yake Kyknos alitafuta mifupa yake katika vilindi vya mto ili aweze kumpatia mazishi halisi. Miugu kwa jumla waliguswa na upendo alionyesha wakamgeuza kuwa kyknos = bata-maji na kumweka angani kati ya nyota. Kwa hiyo Waarabu walitumia hapa jina la kale zaidi la Wagiriki kwa kundinyota hili. Katika mapokeo ya kimagharibi kuna pia mifano ambako “Gallina” (=Kuku) ilitumiwa badala ya Cygnus hadi karne ya 18.<ref>Allen uk. 194 </ref>.
 
Cygnus - Dajaja ni kati ya makundinyota yaliyotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] (kwake kama ornis - ndege) katika karne ya 2 BK. Iko pia katika orodha ya makundinyota 88 ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Cygnus. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[UKIA]] ni 'Cyg'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | url=https://archive.org/details/sim_popular-astronomy_1922-10_30_8/page/469 | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Mahali pake==