Nyoka Maji (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Add 1 book for verifiability (20211002sim)) #IABot (v2.0.8.1) (GreenC bot
Mstari 12:
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] “Waterslang” (nyoka maji) liliyotajwa baadaye kwa jina la Kigiriki "Hydrus“ ambalo kisarufi ni umbo la kiume la jina Hydra ([[Shuja (kundinyota)|Shuja]]), kundinyota kubwa ya [[nusutufe ya kaskazini]].
 
Leo ipo pia katika orodha ya makundinyota 88 yaliyoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Hyi'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | url=https://archive.org/details/sim_popular-astronomy_1922-10_30_8/page/469 | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==