Nzi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Add 1 book for verifiability (20211002sim)) #IABot (v2.0.8.1) (GreenC bot
Mstari 10:
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] De Vlieghe ([[Nzi]]) lililotajwa baadaye kwa jina la ''Kilatini'' "Musca“. Baadaye ilipokelewa katika "Uranometria" ya [[Johann Bayer]] aliyetumia njia ya "Apis" (nyuki) na hivyo kuna vitabu vya zamani vinavyotumia jina Apis lakini baadaye "Musca" ilirudishwa.
 
Leo Musca ipo pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Mus'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | url=https://archive.org/details/sim_popular-astronomy_1922-10_30_8/page/469 | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==