Meza (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Add 1 book for verifiability (20211002sim)) #IABot (v2.0.8.1) (GreenC bot
Mstari 1:
[[Image: Mesa Mensa.png |thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Mesa (Fornax ) katika sehemu yao ya angani]]
[[Picha:Mensa constellation map.png|thumb|300px|Ramani ya Meza (LMC= Large Magellan Claoud = Wingu Kubwa la Magellan)]]
'''Meza''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] ''[[:en: Mensa|Mensa]]'') <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Mensa " katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Mensae" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Mensae, nk. </ref> ni [[jina]] la [[kundinyota]] ndogo kwenye [[angakusi]].
Mstari 11:
Lacaille alikaa miaka miwili kwenye [[Rasi ya Tumaini Jema]] (Afrika Kusini) alipokuwa akitazama nyota za angakusi ambazo wakati ule zilianza tu kujulikana kati ya wanaastronomia wa Ulaya. Alipima nyota 10,000 akazipanga katika makundinyota na kutunga majina kwa makundinyota mapya 14<ref>[http://gallica.bnf.fr//ark:/12148/bpt6k35505/f786.vertical Histoire de l'Académie royale des sciences ]; taarifa ya Lacaille katika "Historia ya Akademia ya Kifalme ya sayansi", uk. 589, Tovuti ya Bibliothèque nationale de France (BnF), iliangaliwa Julai 2017</ref>.
 
Meza lipo katika makundinyota 88 yaliyooorodheshwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Mensa. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Men'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | url=https://archive.org/details/sim_popular-astronomy_1922-10_30_8/page/469 | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==