Mhindi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Add 1 book for verifiability (20211002sim)) #IABot (v2.0.8.1) (GreenC bot
Mstari 11:
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] “De Indiaen” (yaani Mhindi) lililotajwa baadaye kwa jina la [[Kilatini]] „Indus“. Jina hili alilitumia kama kumbukumbu ya watu aliowaona mara ya kwanza katika maisha yake kwenye eneo la Bahari ya Hindi pale Madagaska na kwenye visiwa vya Indonesia. Baadaye alichukuliwa mara kadhaa kwa maana ya “Wahindi Wekundu” yaani Maindio wa Marekani ambayo si maana ya kiasili.
 
Leo Mhindi lipo pia katika orodha ya makundinyota 88 yanayoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia|Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Ind'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | url=https://archive.org/details/sim_popular-astronomy_1922-10_30_8/page/469 | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==