Kimeng'enya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Kimeng'enya" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Triosephosphate isomerase.jpg|thumb|200px|Modeli ya kimeng'enya kinachoitwa TIM.]]
'''Vimeng'enya''' ''(kwa [[ingKiing.]] enzyme)'' ni [[molekuli]] za pekee za [[Biolojia|kibiolojia]] zinazojengwa na [[mwili]] naambazo [[kazi]] zaoyake ni kuarakishakuharakisha michakato chaya [[Kemia|kikemia]] mwilini. Mara nyingi ni [[protini]]. Inafanya kazi kama [[kichochezi]] kinachoharakisha [[mmenyuko wa kikemia]]. Kwa hiyo vimeng'enya vinasaidia kazi za mwilini kama [[mmeng'enyo]] wa [[chakula]].
 
Mfano wake ni kimeng'enya cha [[amylasi]] kinachopatikana katika [[mate]] [[Mdomo|mdomoni]]. Kimeng'enya hikihicho kinavunja molekuli za [[wanga]] kuwa molekuli ndogo zaidi. HiziHizo molekuli ndogo zaidi zinaendedela kuvukwa [[Tumbo|tumboni]] lakini kazi ya tumbo imesharahisishwa kutokana na kimeng'enya katika mate.
'''Vimeng'enya''' ''([[ing.]] enzyme)'' ni [[molekuli]] za pekee za kibiolojia zinazojengwa na mwili na kazi zao ni kuarakisha michakato cha kikemia mwilini. Mara nyingi ni [[protini]]. Inafanya kazi kama [[kichochezi]] kinachoharakisha [[mmenyuko wa kikemia]]. Kwa hiyo vimeng'enya vinasaidia kazi za mwilini kama [[mmeng'enyo]] wa chakula.
 
Kuna pia vimeng'emya nje ya mmeng'enyo tumboni: vina kazi kote mwilini ndani ya [[seli]], kwa mfano vinaendesha kunakiliwa kwa [[DNA]] wakati wa kuzaa.
Mfano wake ni kimeng'enya cha [[amylasi]] kinachopatikana katika [[mate]] mdomoni. Kimeng'enya hiki kinavunja molekuli za [[wanga]] kuwa molekuli ndogo zaidi. Hizi molekuli ndogo zaidi zinaendedela kuvukwa tumboni lakini kazi ya tumbo imesharahisishwa kutokana na kimeng'enya katika mate.
 
Vimeng'enya vimepata kazi pia katika [[bioteknolojia]]. Hapo vinatengenezwa katika [[maabara]] au hata [[Viwanda|viwandani]] ama kwa kutumia [[bakteria]] zawa pekee au kwa kuiga mchakato wa bakteria kwa mbinu za kikemia.
Kuna pia vimeng'emya nje ya mmeng'enyo tumboni vina kazi kote mwilini ndani ya seli kwa mfano vinaendesha kunakiliwa kwa [[DNA]] wakati wa kuzaa.
 
Vimeng'enya vimepata kazi pia katika [[bioteknolojia]]. Hapo vinatengenezwa katika maabara au hata viwandani ama kwa kutumia bakteria za pekee au kwa kuiga mchakato wa bakteria kwa mbinu za kikemia.
 
Kwa mfano vimeng'enya vinatiwa katika sabuni ya kuosha nguo na kuharakisha kuondolewa kwa mafuta au damu.
 
Kwa mfano vimeng'enya vinatiwa katika [[sabuni]] ya kuoshakufulia [[nguo]] naili kuharakisha kuondolewa kwa [[mafuta]] au [[damu]].
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.elevatedliverenzymes.net Elevated liver enzymes details] {{Wayback|url=http://www.elevatedliverenzymes.net/ |date=20190313190942 }}
 
{{mbegu-biolojia}}
 
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Kemia]]