Istilahi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Istilahi''' (Kiing. ''term, terminology'') ni [[neno]] ambalo linawakilisha [[dhana]] fulani katika [[fani]] maalumu ya elimu kama vile [[siasa]], [[sayansi]], [[uchumi]], [[ufundi]], [[dini]] au [[hisabati]]. Ni pia elimu inayochunguza matumizi ya istilahi.
 
Istilahi za fani mbalimbali hutajwa kwa kutumia maneno ambayo yanaweza kuwa na maana tofauti katika lugha ya kila siku au katika kawaida ya fani nyingine.