Tanganyika (maana) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
etimolojia ya neno Tanganyika
d Masahihisho aliyefanya Stephen Ovio Ketaro (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 10:
 
* '''[[Tanganyika (Muheza)]]''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Muheza]], [[Mkoa wa Tanga]], Tanzania.
{{maana}}
{{maana}}Neno "Tanganyika" ni neno ambalo etimolojia yake inatoka katika lugha za Kibantu.Neno hili "Tanganyika" ni neno ambalo limekuwa likitumiwa watu wa jamii za wabantu kwa zaidi ya miaka 4000 iliyopita. Kwa wabantu wa awali walioishi miaka 2000 K.K, neno hili "Tanganyika" lilimaanisha "Nipe-mapumziko".Tafsiri hiyo ilitokana na safari ndefu ya wabantu hayo kutoka Babeli katika Mesopotamia kuingia katika bara la Afrika mnamo mwaka wa 2247 K.K.
 
Wabantu hao mara baada ya kuingia katika pande za Kaskazini mwa nchi hii ambayo inaitwa Tanzania,walisafiri kuelekea nchi za Burundi,Rwanda,DRC na Uganda ambapo mara baada ya kufika eneo ambalo leo hii kuna ziwa Tanganyika waliamua kumwambia kiongozi wao wa msafara kuwa "Tanganyika" wakimaanisha "Tupe-mapumziko".Hivyo kwa nyakati hizo eneo hilo la ziwa Tanganyika liliitwa Tanganyika kwa maana ya kuwa eneo ambalo mababu wa kibantu walioingia katika nchi za Burundi,Rwanda,DRC na Uganda walipopumzika baada ya safari yao ndefu ya kutoka Mashariki ya Kati.
 
Lakini pia kwa kuwa lugha siku zote hufa na kuzaliwa maneno mapya,katika karne ya 15 B.K,lugha za Kibantu ziliendelea kukua na kupanuka kutokana na migawanyiko ya kikoo ambapo maneno "Tanganyika" kwa maeneo mengine ya wabatu yalikuwa na maana nyingine zaidia ya ile maana ya awali ya "Nipe-mapumziko".
 
Hadi kufikia karne ya 15 B.K, neno hili "Tanganyika" kwa jamii za wabantu walioishi pande za Kaskazini mwa nchi ya Tanzania lilikuwa na maana mbili tofauti.Hapo awali kabla ya kuzaliwa kwa lugha ya Kiswahili maneno "Tanga" na "Nyika" hayakuwa na maana za lugha ya Kswahili tunazozijua leo hii.
 
Hapo awali katika lugha za Kibantu kwa mfano; neno "Tanga" lilikuwa na maana mbili ambazo ni "Kwanza" na "Kataa", lakini pia neno "Nyika" lilikuwa na maana ya "Lainika".Hata hivyo katika kuzaliwa kwa lugha ya Kiswahili kutokana na utamaduni wa wabantu Wapeshia waliofanya biashara ya buhuri ya migunga na dhahabu kutoka pande za Kaskazini na Kaskazini Magharibi mwa Tanzania hususani maeneo ya tambarare za Serengeti waliita maeneo hayo walikochukua biashara hizo kuwa "Tanganyika" wakilihusisha jina hilo na wakazi wa eneo hilo ambao waliishi katika maeneo ya mbuga zenye tambarare kubwa kwa maana ya nchi yenye nyika.Hivyo basi,tokea hapo neno "Tanganyika" lilizaliwa kwa lugha ya Kiswahili likiwa na maana ya "Nchi yenye mbuga kubwa ya tambarare".