Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
→‎Jina: majina
Mstari 21:
 
==Jina==
Hatuna uhakika jinsi gani wenyeji walioishi kando la ziwa waliliita kwa lugha zao mbalimbali. Kuna ushuhuda fulani kutokana na taarifa za wapelelezi Wazungu waliopita hapa kwenye karne ya 19 na kushika yale waliyoelewa kutoka kwa wenyeji. Kuna ushuhudua kuhusu majina manne ambayo ni "Tanganika", "Liemba", "Kimana" na "Nsaga".
[[Jina]] la ziwa limepokewa na [[Wazungu]] [[wapelelezi]] wa kwanza kutoka kwa wenyeji wa [[Ujiji]]. [[Henry Morton Stanley]] aliyetembelea ziwa mnamo mwaka 1876 aliandika ya kwamba [[watu]] wa [[Ujiji]] hawakuwa na uhakika kuhusu maana ya jina, ila tu ilimaanisha ziwa kubwa<ref>Habari zifuatazo kutoka HM Stanley, [https://archive.org/stream/throughdarkconti1878stan2#page/n31/mode/2up Through the Dark Continent Vol 2, p 16] </ref>. Maana waliita maziwa madogo "Kitanga", na waliita pia "ziwa la Usukuma" yaani Viktoria Nyanza kwa jina hili "Tanganika". Wajiji walimwambia Stanley ya kwamba labda neno "nika" ilitoka kwa aina ya [[samaki]] walioitwa vile. Baadaye Stanley alikumbuka neno "nika" katika [[lugha]] nyingine za Kiafrika kwa maana ya "tambarare, eneo kubwa bapa" akahisi ya kwamba waliita ziwa kama "tambarare kubwa iliyotanda" <ref>Tanganika, 'the great lake spreading out like a plain', or 'plain-like lake'. Maelezo tofauti kidogo ni kwamba jina Tanganyika limetokana na samaki wa aina mbili ndani ya ziwa, aina ya kwanza anaitwa Tanga na wa pili anaitwa Nyika, hivyo ziwa hilo kwa wakati huo wa hao samaki kupatikana katika ziwa hilo likaitwa ziwa la Tanga na nyika! Baadaye katika matamshi wenyeji wa eneo hilo wakawa wanaita Tanganyika na baadaye kuzaa nchi inayoitwa Tanganyika na baadhi ya sehemu kuitwa hivyo.</ref>.
 
[[Jina]] la ziwaTanganika limepokewa na [[Wazungu]] [[wapelelezi]] wa kwanza kutoka kwa wenyeji wa [[Ujiji]]. [[Henry Morton Stanley]] aliyetembelea ziwa mnamo mwaka 1876 aliandika ya kwamba [[watu]] wa [[Ujiji]] hawakuwa na uhakika kuhusu maana ya jina, ila tu ilimaanisha "ziwa kubwa"<ref>Habari zifuatazo kutoka HM Stanley, [https://archive.org/stream/throughdarkconti1878stan2#page/n31/mode/2up Through the Dark Continent Vol 2, p 16] </ref>. Maana waliita maziwa madogo "Kitanga", na waliita pia "ziwa la Usukuma" yaani Viktoria Nyanza kwa jina hili "Tanganika". Wajiji walimwambia Stanley ya kwamba labda neno "nika" ilitoka kwa aina ya [[samaki]] walioitwa vile. Baadaye Stanley alikumbuka neno "nika" katika [[lugha]] nyingine za Kiafrika kwa maana ya "tambarare, eneo kubwa bapa" akahisi ya kwamba waliita ziwa kama "tambarare kubwa iliyotanda" <ref>Tanganika, 'the great lake spreading out like a plain', or 'plain-like lake'. Maelezo tofauti kidogo ni kwamba jina Tanganyika limetokana na samaki wa aina mbili ndani ya ziwa, aina ya kwanza anaitwa Tanga na wa pili anaitwa Nyika, hivyo ziwa hilo kwa wakati huo wa hao samaki kupatikana katika ziwa hilo likaitwa ziwa la Tanga na nyika! Baadaye katika matamshi wenyeji wa eneo hilo wakawa wanaita Tanganyika na baadaye kuzaa nchi inayoitwa Tanganyika na baadhi ya sehemu kuitwa hivyo.</ref>.
 
Stanley alishika pia majina ya ziwa kwa [[Kabila|makabila]] mengine: watu wa [[Marungu]] walisema "Kimana", wale wa [[Urungu]] "Iemba" na [[Wakawendi]] "Nsaga" kwa maana "ziwa lenye dhoruba". Alichoshika na watu wa Urungu, yaani "Iemba", inalingana na taarifa ya [[David Livingstone]] aliyekuta jina "Liemba" kuwa jina la sehemu ya [[kusini]] ya ziwa na jina hili linaendelea kutumiwa kwa [[meli]] ya [[MV Liemba]] inayosafirisha watu na [[bidhaa]] ziwani tangu mwaka [[1914]].