Tanganyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 36:
* New Maryland, Windsorland (kwa heshima ya familia ya kifalme) na Victoria yalipingwa na [[waziri]] aliyetaka kuona jina la kienyeji;
* kati ya majina ya kienyeji kama Kilimanjaro na Tabora hatimaye Tanganyika lilipendelewa.<ref>Iliffe, A modern History of Tanganyika, uk. 247</ref> na kuwa jina rasmi kuanzia Januari [[1920]]. Kwa chaguo la "Tanganyika Territory" Waingereza walitumia jina la [[ziwa]] kubwa upande wa mashariki ya eneo. <ref>[http://www.archive.org/stream/encyclopdiabri32newyrich#page/676/mode/2up/search/tanganyika Linganisha makala "Tanganyika Territory" katika Encyclopedia Britannica, 12th edition, vol 32, uk 676]</ref> Jina hilo lilitumiwa pia na Shirikisho la Mataifa katika azimio lake kuhusu eneo hilo.
 
Kuhusu asili ya jina "Tanganyika" ona hapa: [[Tanganyika_(ziwa)#Jina]]
 
=== Tanganyika chini ya Uingereza ===