Pallance Dladla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Pallance Dladla''' (alizaliwa agosti 22, 1992) ni muigizaji wa Afrika kusini, amepokea tuzo nyingi na uteuzi pamoja na tuzo ya SAFTA. Dladla alishiriki katika msimu wa pili wa darasa la maigizo. Alishindwa na Abdul khoza na Tumia Ngumla ambaye baadae alifanya kazi pamoja katika thamtilia za mwendelezo ya SABC1 inayojulikana kama ''Tempy Pusha''.<ref>{{cite web|url=https://zalebs.com/whats-hot/tbt-when-all-your-faves-were-class-act|title=When all your...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:55, 9 Oktoba 2021


Pallance Dladla (alizaliwa agosti 22, 1992) ni muigizaji wa Afrika kusini, amepokea tuzo nyingi na uteuzi pamoja na tuzo ya SAFTA. Dladla alishiriki katika msimu wa pili wa darasa la maigizo. Alishindwa na Abdul khoza na Tumia Ngumla ambaye baadae alifanya kazi pamoja katika thamtilia za mwendelezo ya SABC1 inayojulikana kama Tempy Pusha.[1]

Marejeo

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pallance Dladla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. When all your faves were class act. Zalebs. Iliwekwa mnamo 2020-03-08.