Deon Lotz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Deon Lotz''' Alizaliwa 20 Julai 1964) <ref name="TVSA"> [http://www.tvsa.co.za/actors/viewactor.aspx?actorid=16807 "Deon Lotz"]. ''TVSA: The South African TV Authority.'' Retrieved 20 September 2015. </ref> Ni muigizaji wa Afrika Kusini wa filamu, runinga na Sanaa ya maonyesho. Anajulikana kimataifa kutokana na ushiriki wake katika filimu za ''Mandela: Long Walk to Freedom'' na ''Beauty (Skoonheid).''Ameon...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:36, 9 Oktoba 2021

Deon Lotz Alizaliwa 20 Julai 1964) [1] Ni muigizaji wa Afrika Kusini wa filamu, runinga na Sanaa ya maonyesho. Anajulikana kimataifa kutokana na ushiriki wake katika filimu za Mandela: Long Walk to Freedom na Beauty (Skoonheid).Ameonekana katika matayarisho kwa lugha ya kingereza na Afrikaans

  1. "Deon Lotz". TVSA: The South African TV Authority. Retrieved 20 September 2015.