Waseem Shaikh : Tofauti kati ya masahihisho

Muigizaji wa Afrika Kusini
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Waseem Shaikh''' alizaliwa mnamo tarehe 7 Novemba mwaka 1984 ni mwigizaji wa Afrika Kusini, anajulikana kwa jukumu lake kama mvuvi na mlinzi, Ashwin Pillay kwenye televisheni ya SABC 1 katika filamu ya "Bay of Plenty". Mzaliwa wa Dubai, U.A.E.<ref>http://www.thepropertymag.co.za/pages/452774491/articles/2006/February/Shaikhing_up_the_scene_-_Mr_India_Waseem_Shaikh.asp</ref>na kukulia Afrika Kusini, '''Waseem''' alisoma chuo...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:52, 9 Oktoba 2021

Waseem Shaikh alizaliwa mnamo tarehe 7 Novemba mwaka 1984 ni mwigizaji wa Afrika Kusini, anajulikana kwa jukumu lake kama mvuvi na mlinzi, Ashwin Pillay kwenye televisheni ya SABC 1 katika filamu ya "Bay of Plenty".

Mzaliwa wa Dubai, U.A.E.[1]na kukulia Afrika Kusini, Waseem alisoma chuo kikuu Texas,Afrika Kusini na Canada ambapo anaishi hivi sasa. Mnamo mwaka 2005, alitawazwa kuwa Mr. India-Afrika Kusini.[2]Baadaye mwaka huo, alianza mafunzo katika Lotus FM[3] ambapo aliendelea hadi mwaka 2008, alipohamia Toronto, ambapo anaishi kwa sasa.

Mnamo mwaka 2009, aliigiza pamoja na Ashmit Patel, Priyanshu Chatterjee na Vipin Sharma katika sehemu huru ya Florida Road.[4]


Marejeo

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waseem Shaikh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. http://www.thepropertymag.co.za/pages/452774491/articles/2006/February/Shaikhing_up_the_scene_-_Mr_India_Waseem_Shaikh.asp
  2. "IOL Entertainment | Latest Celeb, Showbiz, Movie & TV News". (en) 
  3. http://www.tvsa.co.za/actorprofile.asp?actorid=7449
  4. "Waseem Shaikh". IMDb. Iliwekwa mnamo 2018-05-29.