Abdulrazak Gurnah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 8:
Alipofika Uingereza alianza kusoma kwenye Chuo cha Christ Church College, [[Canterbury]], baadaye akahamia Chuo Kikuu cha Kent alipopata [[shahada ya uzamili]] katika fasihi mnamo 1982. Tasnia yake ilikuwa kuhusu ''Criteria in the Criticism of West African Fiction''.
 
Kuanzia mwaka 1980 hadi 1983, Gurnah alifundisha kwenye Chuo Kikuu cha Bayero mjini [[Kano]], [[Nigeria]]. Akarudi uingerezaUingereza akawa profesa wa fasihi hadi kustaafu<ref>Flood, Alison (7 October 2021). "[https://www.theguardian.com/books/2021/oct/07/abdulrazak-gurnah-wins-the-2021-nobel-prize-in-literature Abdulrazak Gurnah wins the 2021 Nobel prize in literature]". The Guardian. Archived from the original on 7 October 2021. Retrieved 7 October 2021.</ref>.
 
== Kazi zake ==