Abdulrazak Gurnah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeongeza kipengele cha ouzo na heshima, tafsiri ya kusoma makala ya kiingereza
Mstari 12:
== Kazi zake ==
Hadithi nyingi zilizosimuliwa na Gurnah zinaonyesha mazingira ya pwani ya [[Afrika ya Mashariki]], na wahusika wakuu wa riwaya zake ni wenyeji wa Unguja. Mhakiki wa fasihi Bruce King aliona kwamba Gurnah anaonyesha wahusika wake Waafrika katika uhusiano mpana na Dunia yote, akiwaona kama sehemu za Dunia kubwa inayoendelea kubadilikabadilika. Kufuatana na King, wahusika wa gurnah mara nyingi ni watu walioondolewa katika asili zake, wanaokataliwa na jamii na kujisikia kama wahanga wa maisha<ref>King, Bruce (2006). "Abdulrazak Gurnah and Hanif Kureishi: Failed Revolutions". In Acheson, James; Ross, Sarah C.E. (eds.). The Contemporary British Novel Since 1980. New York: Palgrave Macmillan. pp. 85–94. doi:10.1007/978-1-349-73717-8_8. <nowiki>ISBN 978-1-349-73717-8</nowiki>. OCLC 1104713636.</ref>. Mhakiki Felicity Hand aliona kuwa riwaya za ''Admiring Silence'', ''By the Sea'' na ''Desertion'' zote zinajadili hisia za kuwa mgeni na kukosa ndugu zinazotokea kwa watu waliopaswa kuondoka kwao na kukaa ugenini. <ref>https://www.tandfonline.com/doi/abs/10.1080/00111619.2014.884991 Felicity Hand, Searching for New Scripts: Gender Roles in ''Memory of Departure''</ref>
 
==Tuzo na heshima==
Gurnah ndie mshindi wa [[tuzo ya Nobel]] ya fasihi ya mwaka 2021. <ref>{{Cite web|url=https://www.theguardian.com/books/2021/oct/07/abdulrazak-gurnah-wins-the-2021-nobel-prize-in-literature|title=Abdulrazak Gurnah wins the 2021 Nobel prize in literature|date=7 October 2021|access-date=10 October 2021|}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://www.reuters.com/lifestyle/tanzanian-writer-abdulrazak-gurnah-wins-2021-nobel-prize-literature-2021-10-07/|title=Tanzanian novelist Gurnah wins 2021 Nobel for depicting impact of colonialism, migration|date=7 October 2021|access-date=10 October 2021}}</ref> Alichaguliwa kua mmoja wa wanajumuiya ya kitaaluma ya fasihi ya ''[[Royal Society of Literature]]'' mwaka 2006.<ref>{{Cite web|title=Abdulrazak Gurnah|url=https://rsliterature.org/fellow/abdulrazak-gurnah-3/|url-status=live|archive-url=https://web.archive.org/web/20201010131256/https://rsliterature.org/fellow/abdulrazak-gurnah-3/|archive-date=10 October 2020|access-date=7 October 2021|publisher=[[Royal Society of Literature]]|language=en-GB}}</ref> Mwaka 2007 alishinda tuzo ya ''RFI Witness of the world'' nchini ufaransa kupitia riwaya yake ya ''By the Sea''.<ref>{{Cite web|url=http://www1.rfi.fr/actufr/articles/087/article_50171.asp|title=Abdulrazak Gurnah, Prix RFI Témoin du Monde 2007|work=RFI|language=fr|date=8 March 2007|access-date=8 October 2021|archive-date=14 March 2021|archive-url=https://web.archive.org/web/20210314173945/http://www1.rfi.fr/actufr/articles/087/article_50171.asp|url-status=live}}</ref>
 
Tuzo nyingine alizowahi kushinda ni pamoja na tuzo ya waandishi wa jumuiya ya madola (Commonwealth Writers Prize (Eurasia Region, Best Book)) mwaka 2006, tuzo ya kitabu ya ''Los Angeles Times '' kwenye kundi la tamthiliya mwaka 2001 na tuzo ya ''Booker'' mwaka 1994.<ref>{{Cite web|url=https://literature.britishcouncil.org/writer/abdulrazak-gurnah|title=Abdulrazak Gurnah|date=|access-date=10 October 2021|}}</ref>
 
 
==Orodha ya riwaya zake==