Uwezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Politischer_Aschermittwoch_06.jpg|thumb|Kuna shida za kihemko zinazoathiri wale wanaotumia nguvu kwa namna yoyote.]]
'''Uwezo''' ni [[neno]] ambalo maana yake imegawanyika:
# kuwa na [[nguvu]]
# kuwa na [[mali]]
# kuwa na nguvu na [[mamlaka]] ya kufanyakufanikisha jambo
# kuwa na [[ufahamu]] wa kuelewa masomo [[Darasa|darasani]]
# [[kipawa]] binafsi ambacho mwingine anaweza akawa nayonacho, na mwingine asiwe nayonacho
# mamlaka ya kufanikisha mambo.
 
Kwa mfano, kuna baadhi ya watu wanapenda kwenda jeshini wakielezwa hali ya huko lakini wengine hawataki hata kusikia. Katika [[vita vya Kagera]] vya [[mwaka]] [[1978]] [[Idd Amini]] wa [[Uganda]] alitaka kuteka baadhi ya maeneo ya [[Tanzania]]. Kuna wazalendo waliojitoa kwa hali na mali wakaikomboa nchi: Amini hakuwa na uwezo tena, akakimbilia [[Libya]].