Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing Sauti_ya_binti.jpg, it has been deleted from Commons by Fitindia because: per c:Commons:Deletion requests/Files uploaded by Idd ninga.
No edit summary
Mstari 1:
'''Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike''' (inajulikana pia kama ''Siku ya Wasichana''; kwa [[Kiingereza]]: ''International Day of the Girls Child'') ni siku iliyopangwa na [[Umoja wa Mataifa]] katika kuendeleza [[harakati]] za [[usawa]] wa [[Jinsia|kijinsia]] na kuongezea uwezo wa watoto wa kike pamoja na [[haki]] zao, kama vile, usawa wa kijinsia, [[haki ya elimu]], haki ya kulindwa dhidi ya [[ubaguzi]], [[haki za matibabu]], kuepushwa na [[ndoa]] za lazima na [[haki]] nyinginezo.<ref>{{Cite news|url=http://latimesblogs.latimes.com/world_now/2012/10/united-nations-malala-girls-education.html|title=As Malala Recovers, U.N. Marks International Day of the Girl Child|last=|first=|date=11 October 2012|work=Los Angeles Times|access-date=11 October 2016|via=}}</ref> Pia siku hiyo huelezea mafanikio ya watoto wa kike na [[wanawake]] kwa jumla<ref>{{Cite book|chapter-url=https://books.google.com/books?id=uepcBgAAQBAJ&lpg=PA903&dq=%22international%20day%20of%20the%20girl%22&pg=PA895#v=onepage|title=The Oxford Handbook of Transnational Feminist Movements|last1=Hendricks|first1=Sarah|last2=Bachan|first2=Keshet|publisher=Oxford University Press|year=2015|isbn=9780199943494|editor-last=Baksh|editor-first=Rawwida|location=|pages=895|chapter=Because I Am a Girl: The Emergence of Girls in Development|editor-last2=Harcourt|editor-first2=Wendy|via=}}</ref><ref>{{Cite news|url=http://latimesblogs.latimes.com/world_now/2012/10/united-nations-malala-girls-education.html|title=As Malala Recovers, U.N. Marks International Day of the Girl Child|last=|first=|date=11 October 2012|work=Los Angeles Times|access-date=11 October 2016|via=}}</ref><ref>{{Cite book|chapter-url=https://books.google.com/books?id=uepcBgAAQBAJ&lpg=PA903&dq=%22international%20day%20of%20the%20girl%22&pg=PA895#v=onepage|title=The Oxford Handbook of Transnational Feminist Movements|last1=Hendricks|first1=Sarah|last2=Bachan|first2=Keshet|publisher=Oxford University Press|year=2015|isbn=9780199943494|editor-last=Baksh|editor-first=Rawwida|location=|pages=895|chapter=Because I Am a Girl: The Emergence of Girls in Development|editor-last2=Harcourt|editor-first2=Wendy|via=}}</ref>.
 
Kwa mara ya kwanza siku hiyo iliadhimishwa [[tarehe]] [[11 Oktoba]] [[2012]] na inaendelea kuadhimishwa kila mwaka ifikapo oktoba 11 duniani kote.
 
==Marejeo==