Bombomu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 14:
==Modeli za kwanza==
===
Mtangulizi wa bombomu ya kwanza ilikuwa "[[Mitrailleuse]]" iliyobuniwa [[Ubelgiji]] mnamo 1850. Ilikuwa na kasiba nyingi na kuzuungukwa kwa mkono. "[[Gatling]]" ya [[Marekani]] ilikuwa bombomu ya kwanza ilikuwa na kasiba sita na kuzungukuwa pia kwa kombo ya mkono. Wakati wa kuzunguka kasiba ya juu ilifyatulia risasi na mtambo ulijaza kasiba nyingine. Muundo huu uliachwa baadaye kwa sababu haikulenga vizuri. Lakini umerudi tena kwa bombomu zinazotumiwa katika ndege za kivita kwa sababu kasiba nyingi zinaruhusu kufyatulia risasi nyingi bila silaha kushika joto mno kwa sababu kila kasiba inapata nafasi ya kupoa tena.
===Maxim===
|