Sanduku la posta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 1:
{{vyanzo}}
[[Picha:POBox.jpg|300px|thumb|Masanduku kwenye jengo la posta]]
'''Sanduku la posta''' ([[kifupi]]: '''S.L.P.'''; kwa [[Kiingereza]] ''Post Office Box'', kifupi: '' P.O.B.'') ni [[sanduku]] linalofungwa kwa [[kitasa]] linalopatikana katika [[posta|jengo la posta]].
Line 9 ⟶ 10:
Katika nchi nyingi mteja anaweza kuchagua kama apokee barua [[Nyumba|nyumbani]] kwake (akitumia anwani ya [[mtaa]] na namba ya nyumba) au kwenye sanduku la posta, au kwa njia zote mbili.
 
Katika nchi nyingi za [[Afrika]], zikiwa pamoja na [[Kenya]] na [[Tanzania]], hakuna [[huduma]] ya kupeleka barua za kawaida hadi nyumbani, hivyo sanduku la posta ni njia pekee ya kawaida kupokea barua<ref>{{cite web |author=Universal Postal Union |url=http://www.upu.int/fileadmin/documentsFiles/activities/addressingUnit/kenEn.pdf |title=Kenya |publisher=Universal Postal Union |date= |accessdate=2016-02-19 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20200613064953/http://www.upu.int/fileadmin/documentsFiles/activities/addressingUnit/kenEn.pdf |archivedate=2020-06-13 }}{{failed verification|date=January 2019}}</ref>. Katika nchi hizo ni kawaida kwa [[watu]] wengi kutaja namba ya sanduku ya [[Rafiki|marafiki]], [[shule]] au ofisi fulani wakihitaji kupokea barua au kifurushi.
 
==Sanduku la posta na msimbo wa posta==