Usafi wa mazingira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Historia ya Usafi wa Mazingira: kunyosha lugha kidogo
kuboresha kiingilio cha makala
Mstari 1:
[[File:EscherichiaColi NIAID.jpg|thumb|230px|[[Bakteria]] zilizokuzwa za E. Coli.]]
'''Usafi wa mazingira''' ni [[njiambinu]] ya kuendeleza [[afya]] kwaza kuzuia [[mawasiliano]]upanuzi yawa [[binadamumaradhi]] nahasa [[athari]]kwa zakudhibiti [[takamajitaka]]. Athari hizo zinaweza kuhusuna [[mwilikinyesi]], [[mikrobiolojia]],pamoja [[biolojia]]na aukupanga [[kemikali]]upatikanaji vikolezowa vyamaji [[ugonjwa]]safi.
 
 
Taka ambazo zinaweza kusababisha ma[[tatizo]] ya afya ni [[kinyesi]] cha binadamu na [[wanyama]], [[taka ngumu]], [[maji machafu]], taka za [[viwanda]]ni, na taka za [[kilimo]]. Hasa udhibiti wa maji taka na kinyesi ni muhimu kwa sababu viini vinavyosabisha magonjwa ya kibinadamu vinadumu katika vitu hivi na kusababisha maabukizo kutoka mtu mmmoja kwa wengine.
 
[[Usafi]] kama njia ya kuzuia [[maradhi]] unaweza kutumika kwa ufumbuzi handisi (kama [[majitaka]] na [[tiba]] ya maji machafu), [[teknolojia]] rahisi kama [[choo|vyoo]], au ma[[tendo]] ya [[usafi binafsi]] (kama [[uoshaji]] wa [[mikono]] kwa [[sabuni]]).