Margaret Thatcher : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|pl}} (3) using AWB (10903)
kuna namna tu tamaduni zinapishana katika kutoa sifa kwa watu.... Katika tamaduni za Kiswahili, hakuna mwanamke chuma bali "mwanamke wa shoka!"
Mstari 4:
Alichaguliwa kama mgombea na kiongozi wa chama cha [[Conservative Party (UK)|Conservative Party]]. Aliendesha mabadiliko mengi ya kiuchumi na kisiasa. Baada ya [[Argentina]] kuvamia visiwa vya [[Falkland]] (Malvina) alituma manowari na wanajeshi waliorudisha visiwa chini ya utawala wa Uingereza.
 
Kutokana na siasa hizi alipewa jina la "Iron Lady" (mamamwanamke chumawa shoka).
 
1989-1990 alijaribu kuanzisha aina mpya ya kodi na jaribio hili lilisababisha ghasia nchini. Kwa hiyo aliona upinzani mkubwa ndani ya chama chake na tar. [[22 Novemba]] 1990 alitangaza ya kwamba alijiuzulu akafuatwa na [[John Major]].