Jiografia ya Jibuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tag: Disambiguation links
 
Mstari 13:
Hali yake ya anga ni ya joto kiasi, na pia haina mvua (ni [[jangwa]]).
 
==MteremkoMiinuko==
[[Milima]] iliyopo katikati ya nchi hugawa [[tambarare]] za Pwanipwani kutoka plateau. Eneo la chini zaidi ni [[Ziwa Assal]] -155mmita 155 chini ya [[usawa wa bahari]] na la juu zaidi ni [[Mousavolikano]] Ali Volcano|[[Moussa Ali]] 2028myenye [[kimo]] cha mita 2028. Hakuna [[shamba]] la ukulima, unyunyizaji maji, [[mimea]] iliyojimeza huko au msitu. ([[msitu]] upo tu katika milima ya Goda, hasa mbuga ya Day Forest). Takribani [[asilimia]] 9 ya nchi ni malisho yeliyojimeza (1993 mashariki). Kwa hivyohiyo [[Jibuti]] inahesabiwa kuwa sehemu ya nyasi ya Ethiopia, isipokuwa kijisehemu kinachopakana na [[RedBahari Seaya Shamu]] ambacho ni baadhi ya [[Jangwa la Pwani ya Eritrea]] amayoambayo inajulikana kuwa njia nzuri ya uhamiaji awa [[Ndege (mnyama)|ndege]] ambao wanaweza kuwindwa<ref>http://www.worldwildlife.org/wildworld/profiles/terrestrial/at/at1304_full.html</ref>.
 
==Mazingira==
Matukio ya kimaumbile ni pamoja na [[Matetemeko ya Ardhiardhi]], [[Kiangazikiangazi]], [[mawimbi]] kutoka [[Bahari ya IndiaHindi]] ambayo husababisha [[mafuriko]] na [[mvua]] kubwa. [[Malighafi]] ni pamoja na [[umeme]] kutoka kwa ardhiardhini (geothermal energy). Eneo hili limekumbwa na uhaba wa [[maji safisalama]] ya kunywa na pia kugeuka kwa eneo hilo kuwa [[jangwa]].
 
[[Jibuti]] ni mwanachama husika katikawa makubaliano ya kimataifa kuhusu Kubadilika[[mabadiliko kwaya hali ya angahewa]], ueneaji wa jangwa, viumbe[[viumbehai]] vilivyo hatarini, sheria ya bahari, kulinda kitambaaukanda chawa ozone[[ozoni]] na [[uharibifu wa mazingira]] na meli.
 
==Ukubwa wa Eneo==
:''jumla:'' 23000 km2 23000
:''ardhi:'' 22980 km2 22980
:''maji:'' 20 km2 20
 
===Madai ya maji ya kitaifa===
:''contiguous zone:'' 24nminmi 24
:''eneo la kiuchumi pekee:'' 200nminmi 200
:''Bahari ya mpaka:'' 12nminmi 12
[[Image:Djibouti Topography.png|left|thumb|Topografia ya [[Jibuti]]]]