Kujiamini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Kigezo cha {{vyanzo}} kimeongezwa
 
Mstari 1:
{{vyanzo}}
'''Kujiamini''' (''[[:en:confidence]]'') ni [[hisia]] ya kuwa hakika na ama kuwa nadharia tete ama matarajio ni ya kweli ama kuwa njia ambayoimechaguliwa ni zuri zaidi ama ina mafanikio. Kujiamini ni kuwa na uhakika wa binafsi. Ubarakala ama [[kiburi]] katika ulinganisho huu ni kujiamini kusikokuwa na msingi na kuamini mtu ama kitu kuwa na uwezo ama kweli wakati sivyo. [[Kujiamini mno]] au kiburi ni kuwa na imani kupita kiasi, katika mtu ama kitu bila ya kufikiria kwamba kuna uwezekano wa kutofaulu. Kisayansi, hali fulani inaweza kuamuliwa baada ya matokeo kuwa yamepatikana au la. Kujiamini kunaweza kumaanisha [[utabiri wa kujitimizia]] kwa kuwa wale wasiokuwa nao wanaweza kukosa kufaulu au washindwe kujaribu kwa kuwa hawajiamini, na wale wenye kujiamini wanaweza kufaulu kwa sababu wanajiamini badala ya uwezo wao.