Chuma : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Imeongeza sehemu kuhusu jinsi chuma kinaweza kutumika katika maisha ya kawaida ya kila siku. Tags: Reverted KihaririOneshi |
d Masahihisho aliyefanya 208.117.126.150 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni Tag: Rollback |
||
Mstari 26:
Madini chuma ni muhimu sana katika [[mwili]] wa [[binadamu]] na [[wanyama]]. Upungufu wake ni wa kawaida sana duniani na unasababisha [[maradhi]] mbalimbali kuanzia upungufu wa [[wekundu wa damu]] na hatimaye wa [[damu]] yenyewe. Kwa mfano nchini [[Tanzania]] asilimia 58 za [[watoto]] wenye [[umri]] wa chini ya miaka mitano wana upungufu huo <ref>TDHS 2015/2016</ref>.
Utatuzi wa tatizo hilo ni kula [[Kitu|vitu]] vyenye chuma kwa wingi kama [[nyama]] za ndani ([[ini]], [[figo]], [[moyo]]), [[dagaa]] na [[samaki]] wengine, lakini pia [[mboga]] kama [[matembele]], [[mnavu]], [[mchicha]], [[kisamvu]] na [[mlenda]].
Line 45 ⟶ 43:
* [http://www.periodicvideos.com/videos/026.htm Video kuhusu chuma toka Chuo Kikuu cha Nottingham]
* [http://mysite.du.edu/~jcalvert/phys/iron.htm Makala kuhusu chuma iliyoandikwa na J.B. Calvert]
{{mbegu-kemia}}
[[Jamii:Elementi]]
|