Faro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Faro''' (alifariki 670) alikuwa askofu wa Meaux nchini Ufaransa kwa walau miaka 30<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/75485</ref>. Kabla ya hapo alikuwa akifanya kazi katika ikulu ya mfalme Theodoberti II, halafu Theodoriko na Klotari II, lakini dada yake, Fara alimfanya amhimize mke wake kujiunga na monasteri ili yeye aingie upadri. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikuku...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Faro''' (alifariki[[karne ya 6]] - [[670]] hivi) alikuwa [[askofu]] wa [[Meaux]] nchini [[Ufaransa]] kwa walau miaka 30<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/75485</ref>.
 
Kabla ya hapo alikuwa akifanya [[kazi]] katika [[ikulu]] ya [[mfalmewafalme]] [[Theodoberti II]], halafu [[Theodoriko]] na [[Klotari II]], lakini [[dada]] yake, [[Fara]] alimfanya amhimize [[mke]] wake kujiunga na [[monasteri]] ili yeye aingie [[upadri]].
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]].
Mstari 16:
{{reflist}}
{{mbegu-Mkristo}}
[[Jamii:Waliozaliwa karne ya 6]]
[[Jamii:Waliofariki 670]]
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]