Iwambi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 19:
}}
 
'''Iwambi ''' ni jina la [[kata]] ya [[Mbeya Mjini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]].

Wakati wa wa [[Sensa|sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,387 <ref>{{Cite web |url=http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf |title=Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya MC |accessdate=2017-03-14 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20040102080416/http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf |archivedate=2004-01-02 }}</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53115.
 
Iwambi iko kati ya [[Iyunga]] na [[Mbalizi]] kando la barabara kuu inayoelekea [[Vwawa]] na [[Zambia]].
Line 27 ⟶ 29:
Kati ya wenyeji mashuhuri wa Iwambi ni [[John Butler Walden]] (1939 – 2002) aliyekuwa kiongozi mmojawapo wa [[Jeshi la Wananchi Tanzania]] wakati wa [[Vita vya Kagera]] dhidi Uganda. Kaburi lake linapatikana Iwambi.
katika kata ya iwambi kuna shule mbili za msingi ambazo ni [[shule ya msingi iwambi]] ipo katika mtaa wa mayombo na [[shule ya msingi iyunga]] ipo katika mtaa wa [[Isoko]]
pia wanashule moja ya sekondari [[Iwambi]] iliyo anzishwa mwaka 2006 chini ya uongozi wa raisi [[Jakaya mrisho Kikwete]] mbunge alikuwa ndugu [mpesya]] na diwani alikuwa [[MAJIGE]] hawa ndio viongozi walio saidiwaliosaidiA ujenzi huo wa shule ya sekondari iwambi kufanikiwa kusimama nakufanya vizuri katika mkoa wa [[Mbeya]] .
==Marejeo==
{{marejeo}}