Nyuki wasiodunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Nyuki wasiodunga''' (pia huitwa nyuki wadogo) ni kundi kubwa la nyuki (kama spishi 550 zilizoelezewa) kwenye kabila la Meliponini.<ref name = Michener>Michener, C D. ''The bees of the World''. Johns Hopkins University Press, 972 pp.</ref> <ref name= Grüter>{{Cite book|publisher = Springer New York|date = 2020|isbn = 978-3-030-60089-1|first = Christoph|last = Grüter|doi = 10.1007/978-3-030-60090-7|title = Stingless Bees: Their Behaviour, Ecolog...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:21, 16 Oktoba 2021

Nyuki wasiodunga (pia huitwa nyuki wadogo) ni kundi kubwa la nyuki (kama spishi 550 zilizoelezewa) kwenye kabila la Meliponini.[1] [2] Waandishi wengine huwaweka kwenye kabila dogo la Meliponina.[3] Nyuki wasiodunga wapo kwenye familia ya Apidae, na wanahusiana kwa karibu na aina nyingine za nyuki wakiwemo nyuki-asali, nyuki-bungu pamoja na nyuki wa jenasi za Bombus na Euglossini (nyuki-okidi).[2][4]

  1. Michener, C D. The bees of the World. Johns Hopkins University Press, 972 pp.
  2. 2.0 2.1 Grüter, Christoph (2020). Stingless Bees: Their Behaviour, Ecology and Evolution. Fascinating Life Sciences. Springer New York. ISBN 978-3-030-60089-1. doi:10.1007/978-3-030-60090-7.  Unknown parameter |s2cid= ignored (help); Unknown parameter |url-access= ignored (help)
  3. Silveira, F A; Melo, G A R; Almeida, E A B. 2002. Abelhas Brasileiras: Sistemática e Identificação. Fernando A. Silveira, 253 pp.
  4. Roubik, D W. 1989. Ecology and Natural History of Tropical Bees. Cambridge Tropical Biology Series, 528 pp.