BBC : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.2
Mstari 25:
 
==Idhaa ya Kiswahili==
Matangazo kwa lugha ya Kiswahili yalianza mwaka 1957. Tarehe 27 Juni 1957 sauti ya Kiswahili ilisikika mara ya kwanza; msemaji alikuwa [[Oscar Kambona]] aliyekuwa wakati ule mwanafunzi wa chuo kikuu huko London na baadaye [[waziri wa mambo ya nje]] wa kwanza baada ya uhuru wa Tanzania.<ref>[http://www.thecitizen.co.tz/oped/MUGERA--BBC-Swahili-s-East-Africa-homecoming/1840568-2415072-hc99tez/index.html MUGERA: BBC Swahili’s East Africa homecoming] {{Wayback|url=http://www.thecitizen.co.tz/oped/MUGERA--BBC-Swahili-s-East-Africa-homecoming/1840568-2415072-hc99tez/index.html |date=20200922235422 }}, The Citizen Monday, August 11, 2014, kmeangaliwa 2016-12-03</ref>
 
Idhaa ya Kiswahili ya BBC imepanuka huduma zake hadi televisheni na intaneti. Tangu 2014 imehamisha ofisi na programu zake zote kuja Afrika ya Mashariki, ikirekodi Dar es Salaam na Nairobi.