Gao Yang : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Anzisha makala
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:27, 16 Oktoba 2021

Gao Yang(alizaliwa Machi 1, 1993) ni Mwanariadha wa China  aliyejikita kwenye Urushaji tufe.[1] Alimaliza katika nafasi ya tano kwenye Mashindano ya Ubingwa wa Dunia mwaka 2015 huko Beijing. Kwa kuongezea alishinda medali mbalimbali katika ngazi ya Bara na fedha kwenye mashindano ya  Ubingwa wa Vijana wa Dunia mwaka 2012.

Rekodi yake bora binafsi ya mchezo huu ni mita 19.20 nje (Neubrandenburg 2016) na mita 18.77 ndani ( Birmingham 2018).

Marejeo

  1. "Yang GAO | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-16.