Wilaya ya Newala Vijijini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Newala location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Newala (kijani) katika [[mkoa wa Mtwara]].]]
'''Wilaya ya Newala''' ni [[moja]] ya [[wilaya]] za [[Mkoa wa Mtwara]]. Katika [[sensa]] ya [[mwaka]] [[2012]], [[idadi]] ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 205,492 <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464 /census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Mtwara region - Newala District Council]{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref> .
 
Wilaya hii imepakana na [[Wilaya ya Masasi]] upande wa [[magharibi]] na [[kaskazini]], [[wilaya ya Tandahimba]] upande wa [[mashariki]] na kaskazini, [[mto Ruvuma]] na [[Msumbiji]] kwa [[kusini]]. Newala imepakana kwa karibu kabisa na nchi ya Msumbiji ambapo mto Ruvuma ndio unaotenganisha wilaya ya Newala na nchi ya Msumbiji.
Mstari 15:
==Viungo vya Nje==
*[http://newaladc.go.tz/# Tovuti rasmi ya Newala District Council]
 
{{mbegu-jio-mtwara}}
 
{{Kigezo:Kata za Wilaya ya Newala}}
 
[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Mtwara|N]]
[[Jamii:Wilaya ya Newala| ]]