Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa''' ('''Tanzania National Archives''') ni kitengo cha serikali kinachotunza kumbukumbu cha nyaraka za [[Tanzania]]. Kama kila [[taasisi ya nyaraka]] inatunza faili na ushuhuda mwingine wa kazi ya idara za serikali zilizopita ambazo hazihitajiki tena katika kazi ya kiutawala ya kila siku.
 
== Historia ==
Faili za zamani zaidi kwenye nyaraka zinatokana na utawala wa kikoloni wa Kijerumani.{{Hauptartikel|Deutsch-Ostafrika}} Wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]], [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] ilivamiwa na Uingereza iliyochukua utawala juu ya maeneo ya Tanganyika. Wakati afisa mmoja Mwingereza alipitilia karatasi kwenye ofisi za Wajerumani, alikuta amri ya kisiri iliyotolewa mwaka 1916, kabla ya uvamizi wa Dar es Salaam na Waingereza. Amri hiyo ya gavana [[Heinrich Schnee]] iliagiza uhamisho wa hati muhimu na kuzificha Tabora kwa kuzizika ardhini.
 
Mnamo 1921 serikali ya UjeruamniUjerumani ilikubali kutuma wawakilishi wawili kusaidia serikali ya Uingereza kupata mafaili hayo<ref>https://web.archive.org/web/20160716045653/http://www.utumishi.go.tz/archives/archives/index.php?option=com_content&view=article&id=10:history&catid=1:about-us&Itemid=2</ref>.
 
Nyaraka hizo zilikuwa msingi wa jalada za Kijerumani katika ofisi ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa. <ref> [http://www.utumishi.go.tz/archives/archives/index.php?option=com_content&view=category&layout=blog&id=1&Itemid=2 The United Republic of Tanzania. Records and Archives Management Division]: ''about us''. </ref>
Mstari 10:
Kwenye Juni ya mwaka wa 1963, baada ya uhuru, serikali mpya ya Tanganyika huru iliomba usaidizi wa [[UNESCO]] kumtafuta mtaalamu atakayeanzisha utaratibu wa kuteua mafaili yanayofaa kuhifadhiwa na kuyapanga kwa utaratibu.
 
Mkurugenzi huyu wa kwanza alikuwa Michael Cook kutoka Uingereza. <ref> Haas, S. 65; sieheangalia auchpia taarifa: Cook: ''Meine Tätigkeit''. (Kijer.) </ref> Alianzisha Idara ya Nyaraka kama ofisi ya kiserikali. <ref> [http://www.utumishi.go.tz/archives/archives/index.php?option=com_content&view=category&layout=blog&id=1&Itemid=2 The United Republic of Tanzania. Records and Archives Management Division]: ''about us''. </ref> Mbali na maslahi ya kihistoria, nyaraka hizo pia zilikuwa vyanzo muhimu vya kuamua haki za mali au wakati wa kupanga miradi ya ujenzi. <ref> Haas, S. 65. </ref>
 
Kwa Amri Nambari 7 ya Rais wa Desemba 1962, Idara ya Nyaraka (Kiing. ''Records and Archives Management Division'') ilikuwa idara ya Wizara ya Utamaduni wa Kitaifa na Vijana. Jalada zilitunzwa mwanzoni kwenye chumba cha chini cha jengo la serikali kwenye bandari ya [[Dar es Salaam|Dar es Salaam.]] <ref> Cook: ''Meine Tätigkeit'', S. 74. </ref> Michael Cook alijaribu kwanza kutafuta na kukusanya mafaili ambayo yalikuwa yamehifadhiwa kwenye dari za ofisi za mikoa na wilaya nchini. <ref> Cook: ''Meine Tätigkeit'', S. 74. </ref> Alitunga pia sheria ya kwanza ya kumbukumbu na nyaraka ya Tanzania. <ref> Cook: ''Meine Tätigkeit'', S. 75. </ref>
Mstari 49:
*
 
== Viungo vya wavutiNje ==
 
* [http://www.nyaraka.go.tz Tovuti rasmi] ya Idara ya Kumbukumbu na Nyara za Taifa Tanzania
* Chuo Kikuu cha Sayansi iliyotumiwa Potsdam : [https://archivfuehrer-kolonialzeit.de/index.php/tanzania-national-archives Archivführer Kolonialzeit (Mwongozo wa JaladaNyaraka kwa Historia ya Kikoloni ya Ujerumani)]
* [https://web.archive.org/web/20161117025215/http://www.utumishi.go.tz/archives/archives/index.php?option=com_content&view=article&id=10:history&catid=1:about-us&Itemid=2 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.] [https://web.archive.org/web/20161117025215/http://www.utumishi.go.tz/archives/archives/index.php?option=com_content&view=article&id=10:history&catid=1:about-us&Itemid=2 Idara ya Usimamizi wa Kumbukumbu na Nyaraka]
* Chuo Kikuu cha Sayansi iliyotumiwa Potsdam : [https://archivfuehrer-kolonialzeit.de/index.php/tanzania-national-archives Mwongozo wa Jalada kwa Historia ya Kikoloni ya Ujerumani]
 
== Tanbihi ==