Nyuki wasiodunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 20:
}}
 
'''Nyuki wasiodunga''' (pia huitwa nyuki wadogo) ni kundi kubwa la [[nyuki]] (kama spishi 550 zilizoelezewa) kwenye kabila la [[Meliponini]].<ref name = Michener>Michener, C D. ''The bees of the World''. Johns Hopkins University Press, 972 pp.</ref> <ref name= Grüter>{{Cite book|publisher = Springer New York|date = 2020|isbn = 978-3-030-60089-1|first = Christoph|last = Grüter|doi = 10.1007/978-3-030-60090-7|title = Stingless Bees: Their Behaviour, Ecology and Evolution|series = Fascinating Life Sciences|s2cid = 227250633|url = https://link.springer.com/book/10.1007%2F978-3-030-60090-7#toc|url-access = limited}}</ref> Waandishi wengine huwaweka kwenye kabila dogo lanusukabila [[Meliponina]].<ref name = Silveira>Silveira, F A; Melo, G A R; Almeida, E A B. 2002. ''Abelhas Brasileiras: Sistemática e Identificação''. Fernando A. Silveira, 253 pp.</ref> Nyuki wasiodunga wapo kwenye familia ya [[Apidae]], na wanahusiana kwa karibu na aina nyingine za nyuki wakiwemo [[nyuki-asali]], [[nyuki-bungu]] pamoja na nyuki wa jenasi za [[Bombus]] na [[Euglossini]] (nyuki-okidi).<ref name= Grüter>{{Cite book|publisher = Springer New York|date = 2020|isbn = 978-3-030-60089-1|first = Christoph|last = Grüter|doi = 10.1007/978-3-030-60090-7|title = Stingless Bees: Their Behaviour, Ecology and Evolution|series = Fascinating Life Sciences|s2cid = 227250633|url = https://link.springer.com/book/10.1007%2F978-3-030-60090-7#toc|url-access = limited}}</ref><ref>Roubik, D W. 1989. ''Ecology and Natural History of Tropical Bees''. ''Cambridge Tropical Biology Series'', 528 pp.</ref>
 
Nyuki wa kabila la Meliponini wana [[usena]] (msumari wa kuchomea)japokua ni ndogo sana na haitumiki kwenye kujilinda kama nyuki wengine mfano nyuki wa jenasi ya [[Apis]]. Badala yake wanatumia mbinu nyingine za kujilinda. Nyuki wa kabila la Meliponini sio aina pekee ya nyuki wasiodunga; nyuki wote wa kiume na nyuki wa kike wa wa baadhi ya familia nyininge kama [[Andrenidae]] pia hawadungi. <ref name = Michener/> Baadhi ya nyuki wasiodunga wanaweza kung'ata kwa nguvu.<ref name=":0">{{Cite web|url=https://www.newscientist.com/article/dn26562-zoologger-stingless-suicidal-bees-bite-until-they-die/|title=Zoologger: Stingless suicidal bees bite until they die|last=Sarchet|first=Penny|website=New Scientist|language=en-US|access-date=2020-01-24}}</ref>
 
==Jiografia==