Hassan bin Omari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Siyo tafsiri ya komputa
Mstari 56:
Wengine walisema Hassan bin Omari katika maisha yake alikuwa na viungo vya kike na kiume, lakini uchunguzi wa daktari baada ya kifo chake haukuthibitisha hivi.<ref name="Sache1898"/>
 
"Shairi la Makunganya", lililotungwa na Mzee bin 'Ali bin Kidogo bin al-Qadiri wa Zanzibar kwa amri ya Hans Sache, lilitungwa na habari mshairi alizosikia tu, na mbali ya kuwasifia Wajerumani, hasa Wissmann na Sache, lina makosa kadhaa. Walakini, kuachilia yale, kiitiko cha shairi cha kuwauliza watu wa Kilwa ni kupendezakufikiria:</br>
''"Leo mnajuta nini,''
''Baa la kujitakia?"''<ref name="Sache1898"/>